Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

Alimuita jembe kwa kukurupuka katika maamuzi yaliyoitia hasara serikali,anzia nyumba za serikali,samaki,sheli mwanza,vivuko vyote alivyoleta havifanyi kazi ikiwemo cha juzi cha bagamoyo,na kupangisha serikali katika nyumba zake chato.
 
HII NI KIZIHIRISHO KWENYWE HOTUBA ZAKE KUWA NI AKICHAGULIWA ATAKUWA NI RAISI WA WANA CUF , CHADEMA , NRLD, NCCR

HAPA NI KWA VITENDO AKIWA WAZIRI WA UJENZI.

TUNA IMANI NA WEWE

HAPA KAZI TU

1.JPG
4.JPG
6.JPG
5.JPG
 
Hata wao wanajua kuwa ni Rais wawote wanajitoa akili tu.
 
Mtu asiye na kinyongo wala upendeleo binafsi. Hapa katika tawi la chadema .
 
Cha ajabu nini?
Baada ya kampeni tofauti zetu kando
tunachoma nyama pamoja mnadani
TANZANIA NI ZAIDI YA NYINYIEM NA UKAWA:bange:
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Shirikisha ubongo wako na acha ushabiki. Msitupotezee muda humu kuna mambo ya maana ya kusoma na kufuatilia.
 
Wanalitambua hivo wahusika wakuu, sasa wewe unayetumika bila kujitambua ni shida tupu.
 
Hahah..alikuwa na mpango wa kuhamia.chadema..unajua tatizo sio magufuli tatizo ni ccm na magufuli analijua hilo ndo maana hajihusishi na ccm yoko kivyake tuu
 
Pamoja na his shotcomings,Magufuli stands out as one of the best from CCM.Ndio amefanya mambo yenye utata hapa na pale,lakini anavumilika.Mimi binafsi nisingemuita jembe.He is normal.Hata hivyo najua mantiki ya uzi wako.Sasa hata kama yuko normal,lakini kwa vile yuko Chama Cha Majuha,hachaguliki.
Katika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba Pamoja na his shotcomings,Magufuli stands out as one of the best from CCM.Ndio amefanya mambo yenye utata hapa na pale,lakini anavumilika.Mimi binafsi nisingemuita jembe.He is normal.Hata hivyo najua mantiki ya uzi wako.Sasa hata kama yuko normal,lakini kwa vile yuko Chama Cha Majuha,hachaguliki.
Katika hali isiyotarajiwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee amemtaja Dk.Magufuli kuwa ni Jembe kwenye mkutano Goba katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi barabara ya Mbezi Mwisho kwenda Goba mpaka Tangi Bovu.

Aidha, wananchi wa Goba (Wote CHADEMA na CCM) wamempokea Dk.Magufuli kwa shangwe wakimwita "JEMBE JEMBE" Clip ya video angalia hapo chini.

Pia alikuwepo Mbunge wa Jimbo l
 
leo nilikuwanaongea na kada mmoja wa chadema akasema wao jimboni kwao wamepanga na kukubaliana udiwani na ubunge kura wanawapigia ukawa, kura ya urais kwa Magufuli. Frankly speaking Magufuli anakubalika sana
 
Back
Top Bottom