Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

Hahaha halima amechoka unafiki wa Chadema

Ameyachoka maccm bilakuyashangilia uongo hayafanyikazi. Kilichotokea sikia wewe wote waliomwita jembe waliandaliwa! Jembe siyo jina zuri Mpini ndiyo kilakitu jembe lolote duniani lazima lingiziwe mpini ndiyolifanye kazi!!!.
 
Kwa kweli barabara ya Goba inajengwa kwa speed sana tatizo sijui ubora wake utakuaje. Pia sijui itakua inabeba uzito gani kwa kuwa malori ni mengi sana ile barabara
kiraia kweli unaongea kiraia,kafanye utafiti ndo ulete hapa. Sasa unaanza kupinga tu. Wapo raia waelewa lakini sijui wewe raia wa wapi.
 
Kwani nani hajui kuwa magufuli ni jembe?
 
kiraia kweli unaongea kiraia,kafanye utafiti ndo ulete hapa. Sasa unaanza kupinga tu. Wapo raia waelewa lakini sijui wewe raia wa wapi.

Embu soma vizuri mkuu! Then niambie nilichopinga
 
Lema na Mbowe pamoja na Dr.Slaa sijui watamchukulia hatua yeyote Halima Mdee au kwa sababu ni wa nyumbani.
 
Kwenye ukweli kwa nin asiseme????

CCM mmeishiwa sera mnatafuta njia za kupaka matope majembe wanaofanya kazi ambao hawana chembe ya UFISADI.

Magufuri ni Jembe isipokuwa sasa JK amemtia UBUTU kwa kumpeleka East Africa Community.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Magufuli kapelekwa EAC?
 
Khaa!! Kusema ukweli mie kila nikimuona Halima Mdee au kusikia sauti yake moyo wangu hudunda kwa kasi sana
 
Una mkubali kwani anatia hela zake? Nyie wtz viipi?
 
Sipati picha kauli hii ya Mdee kama ingetolewa na mtu kama Zitto ni kwa kiasi gani misukule ya Ufipa ingekuja hapa kupaza sauti za Usaliti!!!
 
Kwenye ukweli kwa nin asiseme????

CCM mmeishiwa sera mnatafuta njia za kupaka matope majembe wanaofanya kazi ambao hawana chembe ya UFISADI.

Magufuri ni Jembe isipokuwa sasa JK amemtia UBUTU kwa kumpeleka East Africa Community.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

nani amekwambia magufuli kapelekwa East Africa
 
Kwenye ukweli kwa nin asiseme????

CCM mmeishiwa sera mnatafuta njia za kupaka matope majembe wanaofanya kazi ambao hawana chembe ya UFISADI.

Magufuri ni Jembe isipokuwa sasa JK amemtia UBUTU kwa kumpeleka East Africa Community.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Naona Mkuu inakuuma mpaka unapanic! Alitiwa UBUTU ni Mwa-Kiembe ndo kapelekwa huko!!
 
Mkuu hao mbona kama ni wana-ccm tu, maana rangi zetu zimetawala na vinyimbo vya kuchaguza nderemo na vifijo...

Maji na mafuta hakaagi pamoja...
 
Hao vibwengo wanaoimba magamba ndio wanaotoa kodi za kujenga barabara?
 
Back
Top Bottom