Mgombea ubunge jimbo la Kawe Halima Mdee katika kampeni zake kwa nyakati tofauti amekuwa akimtaja Magufuli kama ni Chachu ya Mafanikio ya Miundo mbinu hususani Barabara kwa upande wa Dar es Salaam, ikiwemo na jimbo la Kawe.
Kazi Ndo Imeanza: Magufuli JEMBE!!!Kamanda unasemaje?