FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Unaongelea fursa gani hapa maana fursa ninazo ziona niza kuimba bongo flava, kubeba unga na kutolewa kucha na meno bila ganzi.
Wachina, Wahindi, Wakenya, wanaziona, wewe una macho lakini hayaoni una masikio lakini hayasikii.
Na utabaki hivyo hivyo kulalama, kubwabwaja na kuhororoja kama walivyo wote wasioona. Wacha tunaoona na tunaosikia tuendelee kudeza na mifursa isiyo na mfano.