Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,514
mbona umesahau neno mwanamke, usipoliweka neno mwanamke haileti maana aliyokusudia yeye.".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
mbona umesahau neno mwanamke, usipoliweka neno mwanamke haileti maana aliyokusudia yeye.".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
kumbe Halima ni Mkristo!!!HIV CDM kuna waislam kweli?
halikuwepo wakati na kopi hiyo sentesimbona umesahau neno mwanamke, usipoliweka neno mwanamke haileti maana aliyokusudia yeye.
Kwa Mchungaji Gwajima leo ni full shangwe
Mchungaji Gwajima ameahidi kumnunulia gari mpya mwimbaji John Lissu mbele ya umati wa waumini wake kanisani hapo. Amfananisha na John Lissu na Don Moen mwimbaji wa nyimbo za injili Marekani.
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
duu kwa maneno ya gwajima hata mimi nahisi ningekaa jamaa anaujasili kweki kama injili basi huyu mwana noma angekuwa mwanasiasa huyu si mchezo anawachana wachawi haogopi duu mi siwezi aiseeMbunge Halim Mdee bado yupo Mazabahuni......!!!!!!
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
gwajima hana lolote la uadilifu. kanisa lake kama kakobe ni kampuni ya kujipatia kipato kwa udanganyifu. baada ya kuwazuga wafuasi wao na kupata utajiri mkubwa uroho umewazidia. wanaona kwenye siasa kuna pesa zaidi.