Na hii helikoputa lazima wenye wake wajiandae kisaikolojia.
Fulo kampaisha Gwajima, sasa hivi atafikia level za Diamond kwa 'usukari wa warembo'
gwajima hana lolote la uadilifu. kanisa lake kama kakobe ni kampuni ya kujipatia kipato kwa udanganyifu. baada ya kuwazuga wafuasi wao na kupata utajiri mkubwa uroho umewazidia. wanaona kwenye siasa kuna pesa zaidi.
na hii nini????????............. Hahahahahaha nyerere alijitahidi kwa nafasi yake lakini hali bado tete katika lugha yetu
Wajinga ndio waliwao.
Kikwete alishaamuru shule zote, Tanzania nzima, ziwe na umeme haijapita hata miezi mitatu, Gwajima ana kopi.
Nimegundua sasa,Gwajima alikuwa akipakaziwa tuu.
Songa mbele gwajima,kalishe kondoo neno la Mungu wamjue Yesu
Alimaanisha mwanamke..
Kasema Mbunge mwanamke over!
Maelfu ya watu wahudhuria leo kanisani kwa mchungaji Gwajima. Ibada hiyo iliyohudhuriwa na waimbaji nguli wa nyimbo za Injili Munishi
Waumini hao walilipuka kwa shangwe viwanjani hapo baada ya Rose Mhando kumuomba mchungaji Gwajima amruhusu kuhamia kanisani kwake.
Sasa Mbunge Halima Mdee amekaribishwa kuongea, nitaendelea kuwapa updates.
...
Gwajima kasema Zanzibar ipo lakini ipo na Serikali nyingine ambayo ni tata...