Halima Mdee ajisalimisha kwa Gwajima

Halima Mdee ajisalimisha kwa Gwajima

Lakini hapo cha ajabu ni nini? mbona mnamuandaaaama dada wa watu...hivi hamna vitu vingine vya kufanya.......mimi sioni kama ni logic kumfuatilia Halima mdee katika harakati za maisha yake.......acheni wivuuuuuuu

hivi unafikiri kila mtu anapenda kuwa mdanganya watu kwenye majukwaa ili apate mkate wake WA siku?? Acha ujinga kufikiri tunaweza kuwa na wivu kwa watu kama hao, unatukana watu kwa akili zako fupi kama mjoko Wako, we have clean sources of income no matter how low it appears to be but some of us have chosen to live a clean life, get that into your little head, Kota lako, next time kuwa na heshima before you post in a public forum
 
Napata kumchukia Halima Mdee nilivyosikia alikuwa muislamu halafu akabadilika kuwa Mkiristu (kafiri), Ni bora angekuwa mkiristu toka mwanzo kuliko alivyobadili, lakini akiwa bungeni namind sana.,

Anao uhuru kuabudu anachokipenda na kuona bora kwake na yuko comfortable na maisha ya kiroho kumchukia haitaondoa chochote hi ndo freedom of worship popote pale
 
Katika hali ya kutokutegemea, Halima Mdee kaamua kujisalimisha kanisani la Ufufuo na uzima lililopo Kawe.....

Tapeli kama kina Joshua, Kakobe, Gwajima, Mwingira na wengineo....:angry::angry::angry:
 
Anao uhuru kuabudu anachokipenda na kuona bora kwake na yuko comfortable na maisha ya kiroho kumchukia haitaondoa chochote hi ndo freedom of worship popote pale

ni sawa she is free, lakin moto mkali unamgojea
 
Najaribu kumchunguza naona kama mchizi anasingiziwa yaan speech zake ni kali kweli jamaa anasema kweli haogopi serikali wala nini jamaa duu.....kama angekuwa amefanya yote hayo wasinge muacha huyu

Of course Tanzania, tunahitaji watu wasio ogopa kama Huyu jamaa gwajima, ktk pita pita zangu nilimsikia anaongea mambo yanaya endelea bongo mfano serikali tatu, Jamaa akanyoosha kweli kweli Yaaani mpaka nikasema tukipata viongozi(mawaziri),wa namna hii bongo itanyooka.
 
yaaani wewe ndio hamnazo kabisa kumbe vita yote hii na mchungaji wa watu kumbe unamchukia kwa ajili ya udini.....akhagagfsfsdfc\'\[v[pd]w9q43423...

Ndio namchukia sana mkuu lakini akiwa nje ya bunge
 
gwajima hana lolote la uadilifu. kanisa lake kama kakobe ni kampuni ya kujipatia kipato kwa udanganyifu. baada ya kuwazuga wafuasi wao na kupata utajiri mkubwa uroho umewazidia. wanaona kwenye siasa kuna pesa zaidi.
wewe mwenye lolote lipi wivu wa kisenge kuona mtumishi ana maisha mazuri.
 
labda ameenda kuombewa ili apate mume,maana umri unaenda tena na ubunge hana uhakika kama atapata tena jimbo la Kawe,maana haman alichofanya jimboni kwake
 
Fulo kampaisha Gwajima, sasa hivi atafikia level za Diamond kwa 'usukari wa warembo'

aisee!!!
Ila bora amliwaze Haima,maana ni free molecule.
Ila mara nyingi wanawake waliokata tamaa ya kupata mume hukimbilia makanisa ya kilokole kuombewa
 
Khaa!! Halima Mdee namkubali sana sauti yake huwa inanimalizisha sana
 
Sasa yule MARIOO wake jimmy nae alie kama Emmanuel Mbasha


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Gwajima ni wakugopa kama baba J.
Wenzio waliogopa shule ili wasibailishwe dini,wengine waliogopa kwenda ktk jeshi kuwa wataliwa na makamanda wa Jeshi leo ni Mabrigadier, wengine waliwacheka sana walokole kuwa ni vichaa,sasa wana mifumo inayowapatia hel ahadi mnaita dini ni biashara...wanojifanya wapo concern sana Halima kuliwa walitaka wamle wao?Mbona Kombe anawala wake ,na mimama ya CCM imeliwa,ikajichubua misura imezeeka km turubai na mingine sasa inavaa jinsi ndani na si chupi tena.Haijawa nongwa?Sasa ndipo mtaona alichokiona 2015.Waumini waliopo pale na watakaokuwa influenced na hilo kanisa wanatosha decide ushindi.Ukijazia na wengine Mtajifuta vumbi na moshi wa mafuta ya kuchakachua sana.
 
Napata kumchukia Halima Mdee nilivyosikia alikuwa muislamu halafu akabadilika kuwa Mkiristu (kafiri), Ni bora angekuwa mkiristu toka mwanzo kuliko alivyobadili, lakini akiwa bungeni namind sana.,

ipo shida hapa,halafu hata hujui historia ya halima mdee,hujui kama kakulia kwenye familia ya kikristo na baba yake anaitwa prof james mdee.
 
Back
Top Bottom