CattleRustler
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 1,055
- 468
Naam, leo hii kila Mtanzania ana maisha bora na fursa nyingi sana kuliko ilivyokuwa miaka 9 nyuma. Labda awe mgonjwa wa akili, mzee sana ambae wanawe, ndugu, jamaa na marafiki wamemtupa au ni mvivu wa kutupwa.
Unaongelea fursa gani hapa maana fursa ninazo ziona niza kuimba bongo flava, kubeba unga na kutolewa kucha na meno bila ganzi.