Halima Mdee ajisalimisha kwa Gwajima

Halima Mdee ajisalimisha kwa Gwajima

Jesus Christ is FOR ALL NATIONS. Believe me ,all knees shall bow and tounges confess that Christ is the Lord!! wewe tu umebaki ndugu yangu... wahi neema bado ingalipo.

ameni mkuu!!!!
 
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."

Vipi Mnyika?!

Mkuu kwani Mnyika ni mwanamke? Nafikiri Gwajima kamsema mbunge mwanamke wa kwanza kutoka mkoa wa Dar Es Salaam kushinda uchaguzi bila kutoa rushwa. Itabidi umuombe radhi Mnyika.


Tiba
 
Wajinga ndio waliwao.

Kikwete alishaamuru shule zote, Tanzania nzima, ziwe na umeme haijapita hata miezi mitatu, Gwajima ana kopi.

Ni kweli wajinga wapo wengi ila wengine hawajitambui. Hata maisha bora kwa kila mtanzania alishaamuru miaka mingi iliyopita.
 
Sipati picha wakiwa angani wakigegedana,nasauti ya huyo Dada
 
Nadhani Halima ni mwakilishi wa wana Kawe bila kujali ni wa dini gani? bila shaka atakuwa ameenda kama mwakilishi wa wananchi
 
".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."

Vipi Mnyika?!

Haka kaugonjwa ketu ka kutokupenda kusoma maandishi ya zaidi ya paragraph mbili sijui kataisha lini? kwani Mnyika ni mbunge mwanamke. Anesema hivi hapo chini nimecopy paragraph ya tano;

Band ya Jeshi la Magereza ndiyo imealikwa kumpigia Nyimbo Halima Mdee atakapokuwa anasimama kutoa salamu. Kasema anamheshimu Halima Mdee kwa kuwa ndiyo Mbunge Mwanamke wa kwanza Tanzania na Dar es Salaam kutokaUpinzani kushinda Uchaguzi bila kutoa Rushwa.
 
[h=1]KANISA LA UFUFUO LATOA SHUKRANI YA KUPATA HELKOPTA[/h]


Christina Shusho na Flora Mbasha wakiimba sambamba na waumini wengine waliohudhuria misa hiyo. Flora Mbasha akiimba katika kanisa la Gwajima. Halima Mdee akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia waumini wa kanisa hilo. Mchungaji Gwajima akicheza kwa shangwe. Rose Mhando akicheza kwa hisia na shangwe kubwa. Umati wa watu waliohudhuria misa hiyo wakifuatilia kwa makini. Upendo Nkone akiimba kwa hisia kali. Gwajima (kushoto) akicheza pamoja na Christina (Kulia).
WAUMINI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima leo wamefanya ibada ya shukrani kwa kupata helikopta.
Kanisa hilo lililopo maeneo ya Kawe jijini Dar limetoa shukrani zake za dhati kwa Mwenyezi Mungu kuwawezesha kumiliki helikopta hiyo ambayo itatumika zaidi kutoa huduma sehemu mbalimbali za Tanzania na duniani kote.
Helkopta hiyo inakadiriwa kugharimu shilingi bilioni 7.5.
Misa hiyo iliyoanza majira ya asubuhi mpaka jioni ilifanyika kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers ambapo ilihudhuriwa na waimba injili maarufu nchini wakiwemo; Rose Mhando, Upendo Nkone, Christina Shusho, Flora Mbasha, John Lissu, Boniface Mwaitege, Munishi na wengineo.
Picha/Stori na Gabriel Ng’osha na Shani Ramadhani/GPL



 
MWAmbie huyo mzee wa misukule arudishe mke wa Mbasha hata bibilia imeandikwa usitamaani mke wa wa mtu sasa yeye kwanini anamgegeda kapisa...
 
Back
Top Bottom