Katika hali ya kutokutegemea, Halima Mdee kaamua kujisalimisha kanisani la Ufufuo na uzima lililopo Kawe.
Kitendo hicho kimemuamsha Gwajima na kusema Kanisa la Ufufuo litakuwa naye katika uchaguzi wa 2015 na watamchagua tena.
Kanisa la Ufufuo na Uzima limemuahidi kumsaidia Halima Mdee kuhakikisha shule zote za Msingi Kawe zinakuwa na Umeme vilevile watahakikisha wanafunzi wote wa shule za Msingi Kawe wanakaa kwenye Madawati.
Gwajima kaitaka Serikali imruhusu kufanya Mikutano katika Mikoa ya kusini mwa Tanzania. Kasema gesi ni ya watanzania, Hata hivyo kasema migogoro ya Gesi haihusiani na imani za watu hivyo kataka waislam na Wakristo waruhusiwe Kufanya mikutano kusini Mwa Tanzania. Kaitaka serikali itambue gesi ni kwaajili ya Watanzania hivyo watanzania ndio inabidi wanufaike kwanza na hiyo gesi.
Band ya Jeshi la Magereza ndiyo imealikwa kumpigia Nyimbo Halima Mdee atakapokuwa anasimama kutoa salamu. Kasema anamheshimu Halima Mdee kwa kuwa ndiyo Mbunge Mwanamke wa kwanza Tanzania na Dar es Salaam kutoka Upinzani kushinda Uchaguzi bila kutoa Rushwa.
Kasema Halima Mdee anaiwakilisha na kuitangaza vizuri Kawe hivyo wanakawe inabidi watambue Umuhimu wake.
Gwajima anasema sisi ni Watanzania hatupaswi kuwekewa mipaka sehemu ya kufanya Injili ndo maana nimenunua Helkopta kuzunguka Tanzania nzima hata huko Mtwara nitaenda japo Serikali inakataza. Watu wa Mtwara nao inabidi wamjue Mungu ili kupunguza Uharifu. Vilevile Gwajima na washirika wake wamesema wanaunga Mkono Serikali Tatu. Kasema wale wanaodai mbili hata hizo mbili hazipo. Zingekuwa mbili kama Tanganyika ingekuwepo.
Gwajima kasema Zanzibar ipo lakini ipo na Serikali nyingine ambayo ni Tata. Hivyo watu wanapaswa watambue uwepo wa Tanganyika.
Kasema Tanganyika na Zanzibar ni mbili tayari hivyo tunatakiwa tupate ya Tatu ambayo inaziunganisha hizi mbili.
VIDEO:
Ni kweli wajinga wapo wengi ila wengine hawajitambui. Hata maisha bora kwa kila mtanzania alishaamuru miaka mingi iliyopita.
gwajima hana lolote la uadilifu. kanisa lake kama kakobe ni kampuni ya kujipatia kipato kwa udanganyifu. baada ya kuwazuga wafuasi wao na kupata utajiri mkubwa uroho umewazidia. wanaona kwenye siasa kuna pesa zaidi.
Maelfu ya watu wahudhuria leo kanisani kwa mchungaji Gwajima. Ibada hiyo iliyohudhuriwa na waimbaji nguli wa nyimbo za Injili Munishi
Waumini hao walilipuka kwa shangwe viwanjani hapo baada ya Rose Mhando kumuomba mchungaji Gwajima amruhusu kuhamia kanisani kwake.
Sasa Mbunge Halima Mdee amekaribishwa kuongea, nitaendelea kuwapa updates.
Gwajima ni kamanda wa ukweli sana, tupo pamoja pia ahsante kwa kutambua mchango wa Halima.
Daa naona Gwajima kaanza uongo na utapeli!
Katika hali ya kutokutegemea, Halima Mdee kaamua kujisalimisha kanisani la Ufufuo na uzima lililopo Kawe.
Kitendo hicho kimemuamsha Gwajima na kusema Kanisa la Ufufuo litakuwa naye katika uchaguzi wa 2015 na watamchagua tena.
Kanisa la Ufufuo na Uzima limemuahidi kumsaidia Halima Mdee kuhakikisha shule zote za Msingi Kawe zinakuwa na Umeme vilevile watahakikisha wanafunzi wote wa shule za Msingi Kawe wanakaa kwenye Madawati.
Gwajima kaitaka Serikali imruhusu kufanya Mikutano katika Mikoa ya kusini mwa Tanzania. Kasema gesi ni ya watanzania, Hata hivyo kasema migogoro ya Gesi haihusiani na imani za watu hivyo kataka waislam na Wakristo waruhusiwe Kufanya mikutano kusini Mwa Tanzania. Kaitaka serikali itambue gesi ni kwaajili ya Watanzania hivyo watanzania ndio inabidi wanufaike kwanza na hiyo gesi.
Band ya Jeshi la Magereza ndiyo imealikwa kumpigia Nyimbo Halima Mdee atakapokuwa anasimama kutoa salamu. Kasema anamheshimu Halima Mdee kwa kuwa ndiyo Mbunge Mwanamke wa kwanza Tanzania na Dar es Salaam kutoka Upinzani kushinda Uchaguzi bila kutoa Rushwa.
Kasema Halima Mdee anaiwakilisha na kuitangaza vizuri Kawe hivyo wanakawe inabidi watambue Umuhimu wake.
Gwajima anasema sisi ni Watanzania hatupaswi kuwekewa mipaka sehemu ya kufanya Injili ndo maana nimenunua Helkopta kuzunguka Tanzania nzima hata huko Mtwara nitaenda japo Serikali inakataza. Watu wa Mtwara nao inabidi wamjue Mungu ili kupunguza Uharifu. Vilevile Gwajima na washirika wake wamesema wanaunga Mkono Serikali Tatu. Kasema wale wanaodai mbili hata hizo mbili hazipo. Zingekuwa mbili kama Tanganyika ingekuwepo.
Gwajima kasema Zanzibar ipo lakini ipo na Serikali nyingine ambayo ni Tata. Hivyo watu wanapaswa watambue uwepo wa Tanganyika.
Kasema Tanganyika na Zanzibar ni mbili tayari hivyo tunatakiwa tupate ya Tatu ambayo inaziunganisha hizi mbili.
VIDEO:
yaaani wewe ndio hamnazo kabisa kumbe vita yote hii na mchungaji wa watu kumbe unamchukia kwa ajili ya udini.....akhagagfsfsdfc\'\[v[pd]w9q43423...Napata kumchukia Halima Mdee nilivyosikia alikuwa muislamu halafu akabadilika kuwa Mkiristu (kafiri), Ni bora angekuwa mkiristu toka mwanzo kuliko alivyobadili, lakini akiwa bungeni namind sana.,
wazipige kisa nini?mbona unamuaibisha Mdee?,unaonekana mjinga kwa kupost ujinga humu sasa kamanda mdee hapo anahusikaje?au mnataka kumpakazia kama mlivo fanya kwa hao wengine? mdee anaulinzi kijana kuwa makini.....leta hoja za msingi kama umekosa kazi soma magazeti ya udaku ucheke.....Muda si mrefu tutasikia frola kazipiga na mdee !!!!
Najaribu kumchunguza naona kama mchizi anasingiziwa yaan speech zake ni kali kweli jamaa anasema kweli haogopi serikali wala nini jamaa duu.....kama angekuwa amefanya yote hayo wasinge muacha huyuLakini mimi Sizani kama jamaa anakosea, haibi,havunji sheria ya nchi, na ha support upumbavu, kama wananchi wanataka serikali tatu na yeye yuko kwenye serikali tatu ni sawa.
gwajima hana lolote la uadilifu. kanisa lake kama kakobe ni kampuni ya kujipatia kipato kwa udanganyifu. baada ya kuwazuga wafuasi wao na kupata utajiri mkubwa uroho umewazidia. wanaona kwenye siasa kuna pesa zaidi.
Umeacha neno 'mwanamke'".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!