Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Ukweli ni ukweli tu, jana, leo na siku zote. Ukweli ni ukweli, hapa au kule na KAMWE hauna maficho ya kudumu. Mungu akuweke hai ili siku moja 'muda' utakapokuwa ukiongea, usikie na kukumbuka uzi huu!
UKWELI ni nini ?
 
Ustahamilivu wa Jakaya ulipelekea Watu wakachukulia Poa hadhi, Mamlaka, nguvu na Uwezo wa Rais!
Uwa mnamfananisha huyo phony Magufuli na D. Trump. Sasa ingekuwa msanii Magufuli anasemwa vibaya kama Trump ingekuwaje kweli?

Rais is just a public servant! Oh! Wait, I forgot that I'm talking about a country of savages under Magufuli! Rais amekuwa mtawala, badala ya kiongozi!

Uzuri historia uwa haifutiki kirahisi! Amini nakwambia hata kama itakuwa ni 5th generation ya hawa akina Magufuli, siku moja watalipa kwa yale wanayoyafanya.
 
akitoka huko atakuwa mwanamke anaejiheshimu..na anayeheshimu jamhuri.

Rais wa jamhuri sio raihisi rahisi kama wanavyodhani..huwezi kumdhalilisha Mheshimiwa kwa kumkosea adabu..

anyooshwe tu hamna namna..
kwani mdee kukaa ndani kaanza jana, au mumezaliwa jana na nyie ndio mnaona, jela kule ni kama hospital, ipo siku utaumwa na utaenda au utapelekwa,
 
Kenge huwa haamini ni hatare jambo Fulani kufanya Mpaka atoke Damu!

Lema Siku hizi hatukani Tena , Mbunge akiambiwa toka Nje na Spika Siku hizi habishi tangu Washuhudie kilichomkuta Mnyika
Unafurahia ubabe siyo?!? Ngoja siku yakutokee wewe ama ndugu yako!! Yaani Magufuli kawaambukiza u-sadist eh? Taifa limekuwa la sadists na savages!
 
Hivi usalama wa nchi ni wa magufuli kujifanya Mungu mtu ana nini haswa mpaka atulizwe wakati kashindwa katika kila nyanja
Mamlaka zilidharauliwa muda mrefu kiasi kwamba anachokifanya Magufuli sasa ndiyo kuvunja sheria Kimberly ndo sheria zinafuatwa. Mpaka nchi itarudi kwenye. Mstari
 
Kenge huwa haamini ni hatare jambo Fulani kufanya Mpaka atoke Damu!

Lema Siku hizi hatukani Tena , Mbunge akiambiwa toka Nje na Spika Siku hizi habishi tangu Washuhudie kilichomkuta Mnyika
kwani tangu wamtoe wamuweke rumande miezi mi4 mpaka mkanajsi sheria, alishawahi tolewa nje tena, kwani lema alishawahi goma kutoka nje ya bunge, yaani nyie mnatengeneza visasi vikubwa sana, lakini msitegemee kama wenzenu wanaweza wakafanya mnayofanya nyie,
 
Hawa Wanasiasa Watoto walioingia kwny Siasa wakat wa Jakaya hawajui hadhi ya Rais!

Mtei, Hayati Ndesamburo, Hayati Bob Makani Mbona waliweza kuwa Wanasiasa wazuri bila ya kutukana Mamlaka za Nchi?
Pengine ni kwa sababu mamlaka hizo zilikuwa zinajitambua na kuheshimu wengine. Hivi mtu kama JKN, Ruksa, au JK angeweza kutoa hotuba kama ile ya jamaa kule Bukoba baada ya maafa kama yale? Acha hiyo bado kauli za ajabu ajabu kila siku. Mbona mama Samia hakuna mtu anamjibu bila staha? Ni kwa sababu anajiheshimu na kujua nafasi yake katika jamii ikoje sio mambo ya kilevilevi ambayo yanachochea majibu ya kilevi.
 
Acheni kumfariji ujinga, Huwezi kusema ukweli kwa kuhatarisha usalama wa nchi. Mdomo sio wa kuropoka ropoka kila kinachokujia kinywani.
Usalama gani wa nchi umehatarishwa, uoga ni dhambi,endelea na uoga wako...kuna viwanda vingapi vimejengwa tangia awekwe korokoni?
 
hivi mkulu wetu ndio angekuwa africa kusini si angekuwa keshafunga wapinzani wooote, manake kuna kile kichwa sijui maleko, kile kinatukana vibaya sana, lakini aah sijawahi sikia ati kawekwa ndani miezi mi4
 
kwa hiyo yatakuwa yakiisha masaa 48 anahamishiwa kituo kingine au
 
Mpaka Ngosha akimaliza awamu zake za utawala.
Nawasihi wananchi wenzangu mcheze ngoma mkiangalia jua vinginevyo mtaumia zaidi.

Sina chama wala sihitaji siasa, huu ni ushauri wa bure nawapa.
Ni ushauri nzuri kwa wanajamvi wenzetu, upande wa upinzani, wawe viongozi, wanachama, wafuasi na hata mashabiki.

Kwa viongozi wa upinzani, naamini ni wakati mwafaka badala ya kukwaruzana na watawala wakazani Katiba mpya ya JMT. Moja ya ibara zake, iruhusu uhuru wa kusema au kuandika lolote, wakati wowota kwa maneno na lugha yoyote, hata matusi ya nguoni. Ibara hiyo itatoa uhuru wa mawazo unaokidhi mahitaji yote ya kuwa na demokrasia ya vyama vingi.

Lakini kwa sasa Ibara ya 30.-(1) ya Katiba ya JMT (1977), inapunguza uhuru huo wa kujinafasi kimawazo. Inatamka kwamba:
Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.[B/]

Viongozi wa upinzani wanalifahamu, na wengine wao ni Wabunge, lakini wanaichokoza Serikali kwa kuvunja Ibara hiyo ama kwa makusudi, wapate huruma ya kisiasa kutoka kwa wananchi, au kujaribu nguvu ya Serikali kikatiba.
 
Tuwekeeni kumbukumbu ya uonevu huu siku ikifika na wao waonje joto la jiwe hata kama miaka 100 ijayo.
 
Ustahamilivu wa Jakaya ulipelekea Watu wakachukulia Poa hadhi, Mamlaka, nguvu na Uwezo wa Rais!

Ni kweli mkuu. Baadhi ya maRais wa Afrika wanajua kwamba chochote wanachokisema hata wakiwa wamelewa, kinakuwa law automatically. Ukipingana na kauli ya Rais, unakuwa mhaini na unaonekana kama unatishia amani ya Nchi kwa kuinstigate watu wamdharau Rais. ''Rais wa Wanyonge'' hapaswi kupingwa ati...
 
Saafi sana, mamlaka za nchi lazima ziheshimike. Akitoka huko akili itakuwa imemkaa sawa. Hii ndio laana ya kumtukana Spika Ndugai, kakutana na kisiki Mzirankende.
Acha maneno ya uongo, ati laana ya kumtukana spika! Huyu spika wakati wa kampeni alimjeruhi vibaya sana mpinzani wake nusura amuue, kama ni laana mbona isianze kumrudia spika mwenyewe?
 
Kenge huwa haamini ni hatare jambo Fulani kufanya Mpaka atoke Damu!

Lema Siku hizi hatukani Tena , Mbunge akiambiwa toka Nje na Spika Siku hizi habishi tangu Washuhudie kilichomkuta Mnyika
Wanasema "SAMAKI MKUNJE MPAKA AVUNJIKE"
 
Back
Top Bottom