Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

kama unajifanya hamnazo basi Lowassa alitoa maji ziwa Victoria kuleta kwenye mijini alijitoa mhanga kuvunja mkataba NUWA.,
Alisimamisha kazi waliohusika ujenzi wa ghorofa lililoanguka temeke.
Alisimamia ukamilishaji wa ujenzi wa barabara ya samnujoma. Na mengimengi tu. Upoo?
Lete ushilawadu mwengine
Umenikumbusha ile barabara mkuu,duu! Miaka mitatu km tatu[emoji23][emoji16][emoji3], Tanzania kiboko!!!!.
 
Kwa kuwa wewe ni mwelewa, historia husaidia kupanga ya kesho. Hao viongozi uliowataja, ndio wameshiriki kuifikisha Tanzania katika hali ambayo CCM inafanya kila jitihada kurekebisha. Kukumbatiwa kwao upande wa upinzani, ili ipewe jukumu la kutawala nchi hii, ni kuturudisha kule kule upinzani unadai Chama Tawala kilishindwa.

Ebu jiulize (nikirejea maneno yako hapo juu - rangi nyekundu), walifanya nini cha kukumbukwa walipokuwa madarakani? Wakipewa madaraka tena watafanya nini kipya?
Wakati mko nao chama twawala mlicheka nao pamoja na tuhuma dhidi yao. Mlikuwa na uwezo wa kuwachukulia hatua za kisheria na kinidhamu, lakin hamkuchukua na nyie ndo wenye dola. Ndo maana wengine tunaamini chama chenu kinakumbatia majizi. Kila awamu inakuja na majizi yake. Wasilaumiwe waliomchukua mwenye tuhuma, walaumiwe wenye dola lakin wanawaogopa wanachama wao.

Kwa sasa na huyu mwenyekiti wenu mnaweza mkawadanganya baadhi ya watu kuwa mmebadilika. Mimi sidanganyiki. Kinachotokea ni mvurugano kati ya waliozoea kula na walaji wapya wa keki ya taifa letu. Ndio maana hamtaki upinzani imara, mnaongoza kwa vitisho toka jumba jeupe mpaka kwa Ndugai Dodoma.
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
Hii SMS imenitoa chozi
 
poleni sana chadema. kule geita vijana zaidi ya 54 wamepigwa ndani kisa tu wamekusanyika na kufanya mkutano wa ndani.msipokuwa makini mtapotea.
 
Acheni kumfariji ujinga, Huwezi kusema ukweli kwa kuhatarisha usalama wa nchi. Mdomo sio wa kuropoka ropoka kila kinachokujia kinywani.
Anayeropoka si mwingine, ni wewe. Halima akifa leo historia inaandika jinsi wapumbavu wachache kama wewe wanavyashangilia utawala wa kidikiteta.

Hayawi hayawi, yatakuwa. Watu wapumbavu kama ninyi mnastahili kufungiwa mawe ya kusagia mkatupwe baharini. Lakini nchi inapotumbukia katika lindi la umaskini kwa ajili ya utawala wenye dhuruma mnashangilia, hautaangalia baadaye kuwa wewe ulikuwa unausupport, iko siku itafikia kwako,
 
Humanity is zerooooo kabsaaaa nashangaa sn watu wanavyomshambulia utafikiri labda kaua ,kwani magufuli karopoka Mara ngapi tena maneno ya kukashifu watu na tena ambayo huwezi kuyaongea kwa watu ambao wako kwa wakati mgumu,Leo hii mtu anajaribu kujitetea kwa namna anavyoona mnasema amemkashifu, this is too much ,si mseme tu tz theres no human right tukaelewa ,,,,,ila mungu atawalipiza mkumbe kuna watu wanfunga na kuomba kwa kuwaombea watu kama halima mdee,....tumewachokachoka
Mbona hao hao CCM wanaomlaumu Halima Mdee kuwa katukana kwa kusema tu kuwa Rais anachukulia matamko yake kuwa sheria, lakini watu hao hao hawataki kusema kuwa kwa matamshi aliyoyatoa Rais wetu kule Kagera ilikuwa ni kejeli na matusi?

Ngoja niwakumbushe kidogo alichokisema Mkulu kule Kagera.

Serikali haijaleta tetemeko........

Nyiye watu wa Kagera kila majanga nyiye....

Tetemeko nyiye......
Ugonjwa wa ukimwi nyiye......
Mto ngono uko kwenu......
Hata katerero nyiye!!!

Hebu tuwe fair, kati ya matamshi hayo ya Mkulu na ya Halima Mdee ni yapi haswa ni matusi?
 
::TAARIFA::

Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.

Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM
Kila mtu huvuna alichokipanda
 
akitoka huko atakuwa mwanamke anaejiheshimu..na anayeheshimu jamhuri.

Rais wa jamhuri sio raihisi rahisi kama wanavyodhani..huwezi kumdhalilisha Mheshimiwa kwa kumkosea adabu..

anyooshwe tu hamna namna..
Hivi huyu Dada ameolewa kweli. Maana anavyongea na wanaume ni kama vile ana stress
 
Saafi sana, mamlaka za nchi lazima ziheshimike. Akitoka huko akili itakuwa imemkaa sawa. Hii ndio laana ya kumtukana Spika Ndugai, kakutana na kisiki Mzirankende.
Unachekelea kutokuwepo utawala wa sheria, chini ya utawala wa sheria ukitenda kosa unakamatwa kisha unapelekwa mahakamani, hauanzi kufungwa kisha unapelekwa mahakamani! Ukikutwa hauna kosa haisaidii kitu tayari ulikwisha tumikia kifungo.
 
Saafi sana, mamlaka za nchi lazima ziheshimike. Akitoka huko akili itakuwa imemkaa sawa. Hii ndio laana ya kumtukana Spika Ndugai, kakutana na kisiki Mzirankende.
Unachekelea kutokuwepo utawala wa sheria, chini ya utawala wa sheria ukitenda kosa unakamatwa kisha unapelekwa mahakamani, hauanzi kufungwa kisha unapelekwa mahakamani! Ukikutwa hauna kosa haisaidii kitu tayari ulikwisha tumikia kifungo.
 
kama unajifanya hamnazo basi Lowassa alitoa maji ziwa Victoria kuleta kwenye mijini alijitoa mhanga kuvunja mkataba NUWA.,
Alisimamisha kazi waliohusika ujenzi wa ghorofa lililoanguka temeke.
Alisimamia ukamilishaji wa ujenzi wa barabara ya samnujoma. Na mengimengi tu. Upoo?
Lete ushilawadu mwengine
MWALLA, natumaini ni asubuhi na J2 njema hapo kwako.

Kwamba najifanya hamnazo mimi au wewe. Kutetea upande wa upinzani ni dhahiri wewe ni mfuasi wao. Kama hayo yaliyofanywa na huyo mtajwa wako, unashangilia na kutasifia, inakuwaje hao hao wanakejeli, kwa lugha ya mitaani, mambo makubwa kuliko hayo, yanayofanywa na uongozi wa Serikali iliyo madarakani, na kwa muda mfupi!

Viongozi wa upinzani wanapokosoa au kulaumu, wasijifanye hamnazo, la wanathibitisha unafiki na ujuha wa hali ya juu, kiasi kwa kutokuaminika kupewa madaraka ya kuongoza nchi hii. Kuna ushahidi wa matamko kwa lugha, ambazo hata mwenda wazimu hatumii.

Jumapili njema nikutakie
 
This is very true, Kawe tuna hasara kubwa, huyu mheshiiwa hata asipokuwa polisi, magereza na mahakamani, hana muda kabisa na jimbo. Kwa bahati mbaya hata chama chake na Mwenyekiti wao ni bogus, trash kabisa ya hali ya juu, hata wangekuwa na akili wange fanya innovation kwa kuomba apumzike walete acting mbunge. Ninajuta sana kumpatia kura yangu huyu mama na chama chake, vituo vye polisi vimefungwa, barabara hazipitiki, mafuriko yasiyo ya lazima kwa kushindwa kuwakabili wapigaji kama bwana Kusaga Mandege wa hapa Zoo, hana muda wa kazi huyo halima yuko busy na mambo yake tu. Pili tabia njema ni silaha, Dr Slaa alikua anasema ukweli sana hata kutaja ile list ya mwembechai lakini hana matusi, dharau na utoto wa namba hii. huyu bibie siku chache tu zilizopita aliomba msamaha mbele ya taifa zima, leo karudia yale yale hata mahakamani kesi yake itakua ngumu sana kumtetea
Kichaa kimepanda nini? Halima amefunga vituo vyote vya polisi! Wewe si bure inawezekana kuna kitu mnagombea wewe na yeye. List ya Mwembechai! Wewe kweli juha acha kudandia siasa siyo fani yako.
 
Saafi sana, mamlaka za nchi lazima ziheshimike. Akitoka huko akili itakuwa imemkaa sawa. Hii ndio laana ya kumtukana Spika Ndugai, kakutana na kisiki Mzirankende.
Unajiona unakijua chama na kukipenda kuliko gori la mkono. Unafurahia ukinyaa wenu ipo siku
 
Mpaka Ngosha akimaliza awamu zake za utawala.
Nawasihi wananchi wenzangu mcheze ngoma mkiangalia jua vinginevyo mtaumia zaidi.

Sina chama wala sihitaji siasa, huu ni ushauri wa bure nawapa.
si hadi akubali kumaliza

Kuna uwezekano mkubwa akagoma kuachia ngazi
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
Wacha uongo. Ulitumwa na nani na lini kumtaka Mdee amtukane Rais na kuifitinisha serkali na watu wake? Mwache asote, wakati akisota hatapata muda wa kufanya uchochezi. Labda msaidie wewe uliye nje kwa kurudia matusi yake nawe wakupeleke selo mkaungane naye umpongeze vizuri.
 
Saafi sana, mamlaka za nchi lazima ziheshimike. Akitoka huko akili itakuwa imemkaa sawa. Hii ndio laana ya kumtukana Spika Ndugai, kakutana na kisiki Mzirankende.
Hivi Wewe kumbukumbu umehifadhi wapi? Mmesahau mlivyomfanyia lema na kilichotokea baada ya kutoka
 
Kwanini toka bwana mkubwa aingie madarakani kumekuwa na kesi nyingi sana za watu kumtusi tofauti na wakuu wa nchi wa awamu zilizopita?jiulize afu usinipe jibu.
 
Back
Top Bottom