Nguvu ya umma ipi sema ameachiwa tu baada polisi kujiridhisha na maelezo
Hii ni mwanzo tu,BAWACHA wameanza wsnahaki ya kupinga rasimu ya sitta iliyowaweka rehani mabinti wa kitanzania wenye miaka 18 kuhalalishwa kuolewa, wakati watoto wa kike huanza drs la 1 wakiwa na miaka 61/2 hivyo drs la vii wanakuwa wanamiaka 13,
Kidato cha 1-iv watakuwa na miaka 17, kidato cha sita miaka 19, ccm imetaka mila na desturi mbaya ziendelezwe za ndoa za utotoni,na lengo ni kuzalisha mradi wa watoto waishio ktk mazingira magumu.
Binti wa japan anaolewa akiwa na miaka 26 ,uingereza 25, na korea 26 leo ccm inapitisha mawazo mabovu kiasi hiki?, kwa nini wanawake wanaojitambua wasiwahamasishe wenzao waandamane ili kufuta kipengele hicho!
Kwa nini tuendelee kuwa familia dhaifu kiasi hicho ambacho, watoto hawa watakuwa hawana ajira na bado wadogo?
Kwa nini wanawake wasiandamane kudai maji,umeme,matibabu bora ya watoto wao,kwa nini wasidai sheria ya maadili ya mtu kutoweka fedha nje ya nchi na wabunge watakaoenda bungeni kuunga sheria zinazowakandamiza mfano kuhamishwa kwenye maeneo yao kwa malipo kiduchu?
Kwa nini wasifanye hivyo kudai,sheria inayowazuia viongozi kupewa zawadi ns kama wakipewa wazikabidhi serikalini,kwa nini wasiandamane?
Anayefikiria watoto wake,anayefikiria wajukuu zake,anayefikiria jamaaa zake namajirani zake juu ya maisha yao,juu ya kutotembeza bakuri ulaya kuomba misaada,hatapuuza maandamano,hatadharau au kupoteza muda akiunga mkono sera mbovu za ccm!
Vinginevyo hajui hili we should talk differently,act differently and perform differently ,we should stand out!
Otherwise you are dull