sunna
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 531
- 74
kadili ya sheria za kijeshi amri ya mwisho ndo inatekelezwa hivyo watanzania wenzangu tujitaidi kuwa waelewa tunapo tangaziwa kitu,askari polisi anapo ambiwa maandamano yasifanyike ni kwa njia yoyote ile inabidi yasifanyike hivyo ni vyema kutii amri inayo tolewa kabla hata virungu havija tembea,
wapo wanao amini kauli ya dk.slaa kwamba polisi 35 elfu hawawezi kuzuia raia milioni 20 hii inaweza kuwa propaganda kama ya mkwawa kuwaambia wafuasi wake waseme maji wanapo pigwa risasi wakiamini itageuka kuwa maji,kumbukeni kazi ya jeshi ni kulinda Amani hivyo hao mnao waona wachache wakishindwa tupo wengine huku msituni hata hatuna kazi na huwa hatuna msalia mtume.ombi langu kwenu ni kuwa tufuate sheria daima kibuli kingine hakifai,wapo watu mnao amini bora itokee vita lakini ukweli ni kwamba vurugu mnazo ziona zinatokea na watu wawili au watatu wanauwawa haifikii hata asilimia 2 ya vita.waulizeni watu wa mtwara kwa sababu wa waliona athari na maisha walio ishi ndani ya masaa yasiyo zidi 90.
MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRICA
Ntaanza na wewe ulioko porini