Halima Mdee aachiwa huru

Halima Mdee aachiwa huru

Ivi halima mdee alitakiwa kukamatwa na polis wa kike? Mbona nasikia ana mke..

Mkuu demokrasia ya kweli haikubali UONGO na haitakubali kamwe! Sasa wewe hizo habari za uzushi umezipata wapi? Je ulisimamia harusi yake? Haya ndiyo matatizo hasa ya watanzania! Ongelea kitu chenye maana kwa jamii siyo huu uongo mtupu!!
 
Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.

Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.

Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.

Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.

1924390_671185256322826_7664490508546385360_n.jpg
1604783_671184859656199_6973916564300874417_n.jpg
10641133_671184926322859_2798054373558139573_n.jpg
[/QUO
Acha kudanganya watu ameachiwa kwa dhamana sio huru. Ila amepata dushelele ya nguvu, na lengo halikutimia kwani ikulu hawakufika na rais hawajamuona. So tunaweza sema mpango wao Ni FAILED
Kama hujawahi kulima mahindi basi chunguza lazima uizike mbegu ukijua umeikomoa kumbe umeilaza kwa muda huamka na kutoa mmea utakaotoa kinachofanana nayo kwa wingi.kinachosubiriwa ni muda tu ukifika utajua maana ya usemi huu.
 
Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.

Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.

Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.

Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.

1924390_671185256322826_7664490508546385360_n.jpg
1604783_671184859656199_6973916564300874417_n.jpg
10641133_671184926322859_2798054373558139573_n.jpg
[/QUO
Acha kudanganya watu ameachiwa kwa dhamana sio huru. Ila amepata dushelele ya nguvu, na lengo halikutimia kwani ikulu hawakufika na rais hawajamuona. So tunaweza sema mpango wao Ni FAILED

Yani katika mijinga member huku hakika wewe umo Kati Yao! Kichwa kubwa fikra yako ndogo hauna haya msukule wewe! Ficha aibu yako kwenu huko!
 
Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.

Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.

Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.

Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.

1924390_671185256322826_7664490508546385360_n.jpg
1604783_671184859656199_6973916564300874417_n.jpg
10641133_671184926322859_2798054373558139573_n.jpg
[/QUO
Acha kudanganya watu ameachiwa kwa dhamana sio huru. Ila amepata dushelele ya nguvu, na lengo halikutimia kwani ikulu hawakufika na rais hawajamuona. So tunaweza sema mpango wao Ni FAILED
Lengo ni kufikisha ujumbe na si kumwonaa rais kwahiyo mpaka sasa ujumbe umefika kwa 100%
 
Acheni unafiki nyie Waislam walivyokuwa wanapigwa kwenye maandamano yao huo utu wenu ulikuwa wapi si mlikuwa mnawapa pongezi polisi, Ponda kapigwa risasi huo utu wenu ulikuwa wapi zaidi ya matusi au binadamu wenye kustahiki haki ni Chadema.

kwani thread zilishafutwa...
 
Kweli mnajua kutafuta umaarufu.
Hiyo hofu kubwa ilianzia mkoa gani na kuishia mkoa gani?Mbona watu wengi hawajui kama huyo Halima alikamatwa au lah?
Acha kukuza mambo!

Ruttashobolwa;
Hivi kati ya huyo Halima Mdee na hao Policcm; kama kweli weye ndo mkweli, nnani anayetafuta umaarufu? Angalia huo mwili wa Halima, ndiyo kweli umfanye Kamanda mzima, minguvu tele tele, minyota tele tele, na magari yake ya deraya kama kwamba tumevamiwa na jeshi la Mreno, na ving'ora, mabomu ya machozi na risasi za moto kama kwamba Ikulu imevamiwa rais akiwa usingizini.
Unasema ati, Halima anatafuta umaarufu. Kuna aina nyingine ya umaarufu kuliko huo wa mwanamke mmoja tu wa Kipare aitwaye Halima kuitikisa amari yoote ya Oystabay Polisi mpaka wakaenda kuazima magari ya diraya kuja kukabiliana naye.
Ptuuuuu; policcm mmekwisha, mmedorora. Acheni hivyo vijimama visivyo na umaarufu visugue viatu mpaka geti la Ikulu, hawana lolote lile la kumdhuru mkuu wa kaya.
Wanaoutafuta umaarufu ni hao mapoliccm siyo Halima.
 
Wananchi si wajinga hatutaki katiba ya watawala tunataka katiba ya wananchi.
Katiba iliyotengenezwa Dodoma si ya wananchi bali ni ya chama tawala.
Ni jukumu letu wote kuipinga hii katiba inayolinda masilahi ya watawala badala ya wananchi.
 
Rais alimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA na kisha akasema amesikia Halima anataka kwenda kumsalimia basi Rais akasema karibu. Nadhani Rais hakuwa na maana ya kwamba aende kwa maandamano bali apange UONGOZI WA BAVICHA UMEMPA WEWE?
 
Nguvu ya umma ipi sema ameachiwa tu baada polisi kujiridhisha na maelezo

Maelezo gani Mkuu? labda wamejeleza na kujiuliza wakaelewa wenyewe. Kama kungekuwepo na jambo la kweli linashughulikiwa hakuna urahisi wa namna hiyo. Halafu hao hata wakishughulikia jambo kwa muda mrefu wanaishia hapo hapo. Angalia samaki wa Magufuli na kesi ya uvuvi imeishia wapi. Wanafanya kazi kwa utashi wa kisiasa badala ya kushikilia taaluma zao. Sasa hao wamama nao walikuwa wanahatarisha nini Mkuu? Kama siyo aibu tupu? Au unataka kuniambia kulikuwepo wanaume waliovaa magauni? Nakuhakikishia hilo halitakubalika popote hata ndani ya familia ya Mkuu wa kaya watashindwa kuunga mkono hatua hiyo. Polisi aliyempiga huyo Binti anatakiwa kushitakiwa. Kama si leo kesho. Naamini kama ni mwanaume kweli atakuwa anajiuliza kama katenda haki. dhamira lazima itakuwa inamsuta
Mtazamo wako una dosari Mkuu. Siasa zisikufanye ukakosa ufahamu wa haki na ubinadamu na namna ya kuwasikiliza wamama katika taifa letu. Kitendo hicho kimelifedhehesha sana Taifa letu. Ningewaomba wakuu wa hilo jeshi wajirudi, tena wajirudi kijasiri kabisa.
 
Nchi hii ina wajinga wengi, na 95% ya wajinga hao wapo CCM. Hata ukiangalia wanavyochangia humu na wanavyojenga hoja utagundua akili na elimu zao ni za viwango vya hali ya chini sana. Ikitokea amemalizia elimu ya juu, bado utaona reasoning yake ni sawa na ya darasa la 7 mwenye akili.

Chama ambacho uimara wake umejengwa kwenye ujinga wa wanachama na mashabiki wake hakiwezi kudumu maana ujinga siyo wa kudumu.

Kwahiyo unataka wote tufuate akili ya lema na mzee slaa? Hiyo haitawezekana boss
 
Halima anazuiwa kwenda Ikulu lakini akina Chande Freemason wanapadharau imefikia hatua kama Rais anashida yeye ndio anaenda kwa Chande.

Acha Andy chande tu Mpk wahuni wa temeke wanajiita wanaume Tmk ikulu ya kikwete Kama maskani tu!!
 
Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.

Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.

Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.

Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.

1924390_671185256322826_7664490508546385360_n.jpg
1604783_671184859656199_6973916564300874417_n.jpg
10641133_671184926322859_2798054373558139573_n.jpg
Mpumbv kweli wewe, hayo mamia yako wapi? Acha ushabiki wa kshamba. Askari gani wanaume waliompiga yule teja?? Mbona umeweka picha ya watu sita badala ya hayo mamia ya uzushi?
 
Hata kama ulionana na Rais wakati wa ufunguzi wa barabara hiyo haimaanishi usiombe kibali cha kuandamana. Au Rais aliwaandikia polisi akawaambia wakuruhusu kuandamana? Wewe mwanasheria unaelewa vizuri maswala ya taratibu.
MAVI matupu toa uchafu hapa!! Uruhusiwe au kuomba haki ya kikatiba!! AGHHHHHHHHHHHH!!!! your days are numbered!!
 
Back
Top Bottom