Hali mpaka now ni shwari, manake tulienda mjini kuchukua mahitaji maduka yote yamefungwa,mji mzima wanajeshii wana patro,
Sasa mko Watanzania wangapi?mko eneo gani? Mnapatikana kwa simu namba zipi? Maelezo uliyoyatoa hayawasaidii kufikiwa na msaada wa mtu yotote. Ni kama mtu aseme jamani niko dar es salaam manomu yanarindima tunahitaji msaada.
kwa taarifa yako tu, balozi zetu si za miasada sana
Asante dadangu manaake nina braza wangu huko!Tunashukuru. Kama unahusika wasiliana na wahusika wa Jamiiforums watakupa contact za wawakilishi japo sasa halo imetulia kidogo.
Mbona wa Tz tunauzoefu wa mbagala na gongola moto.
Hali mpaka now ni shwari, manake tulienda mjini kuchukua mahitaji maduka yote yamefungwa,mji mzima wanajeshii wana patro,
Unajuaje kama kesho ingemkuta hai?Balozi za nje tangu JK akiwa waziri wa mambo ya nje hazijawahi kufanya kazi kwa weledi na hazina msaada kwa raia wake
kama wakati wa crisis haziwezi kuwasaidia watanzania ni kwa nini ziwepo?Kwa mfano hili la Congo ningekua Rais Kesho Balozi angetangulia Dar
kwa taarifa yako tu, balozi zetu si za miasada sana
Unajuaje kama kesho ingemkuta hai?
Kwanini isiwe usiku huu safari ianze?
Au unaongea kisiasa zaidi?
Unaongelea weledi wa mabarozi,mie nipo HARARE napiga mzigo,yaliwahi tokea machafuko baada ya uchaguzi mbona office za balozi zilitukusanya kwa lolote litakalotokea tusafirishwe back Dar?
Acha siasa kwenye uhalisia mkuu!
Wizara ya mambo ya ndani wanatakiwa wafanye juu chini kuwafikia hawa Watanzania. Kwa sasa hivi rebels wa DRC hawataki kusikia jina Tanzania, maana wanajua msimamo wa nchi (Tanzania). Infact I would as far as saying, rebels watakuwa na kinyongo na Tanzania.
Baadhi ya balozi zetu huko nje hawana msaada kabisa wa watanzania wanaokuwa huko. Nadhani hili na kuangalia sana na ndio maana hata Watanzania wengine hawahangaiki kujiandikisha kwenye balozi zetu. Natumaini Mh Membe ataona uzito wa issue ya DRC na kutafuta namna ya kuwafikia hawa wenzetu.
Kuna wafanyakazi wa Camel Oil, mabasi ya Taqwa wapo, Oilcom wapo, Lake Oil, GBP, wale wa mabasi ya Falcon n.k.
Majuzi inadaiwa walikamatwa Mayimayi wengi upande wa TZ, uoga wa walio huko ni kwamba waasi wanaweza kuchukulia TZ inasaidia Serikali ya Congo. Mali zao mpaka sasa zipo salama, wamefunga vituo vyote vya mafuta.
Inaweza kuwa kweli waasi wa Mai Mai walijaribu kuvamia Makao makuu ya jimbo la Katanga mjini Lubumbashi.
La situation est redevenue calme, ce samedi 23 mars à Lubumbashi, chef-lieu du Katanga, après une matinée agitée notamment par des tirs qui retentissaient à travers le centre-ville. A la base, les Maï-Maï dénommés Bakata Katanga qui y ont fait leur entrée par la commune de la Rwashi. Selon les témoins, ces miliciens qui cherchaient à rejoindre le siège de lAssemblée provinciale du Katanga ont été dispersés par les Forces armées de la RDC (FARDC)
.Lubumbashi: le calme est revenu après la reddition des miliciens «Bakata Katanga» à la Monusco | Radio Okapi