Hali ya wanachuo mtaani

Shida wanadharau kazi ngoja jua liwapige ndio watatia akili
 
Nyumba Hadi za ghorofa tunajenga na mafundi darasa la Saba ..
Halafu wenye vyeti civil engineering... Wana hangaika kutafuta kazi

Tunafanya hivyo. Sababu hata tukiwachukua wenye vyeti vya Civil engineering huwa hawajengi.. wanafanya udalali tu wa kupokea kazi ya kujenga kisha wanawauzia mafundi darasa 7 wawajengee.. wao wenye vyeti wanakaa pembeni wanachat na kunywa bia tu ama kubishana simba na yanga
 
 

Attachments

  • _20230130_200043_1.JPG
    19.1 KB · Views: 16
Sambazeni maombi ya kazi msichoke vijana
Mimi mwenyewe nimeshangaa. Sijui walitaka hao gradutes wawe wadangaji🤔
 
Kiukwel kuna wengine hata kama ajira zipo lakin hawez kupata

Kuna watu wana maGPA makubwa lakin kwenye interview ni madomo zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…