Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 754
Nasikia ana PHD hebu wekeni CV yake huyu Marehemu mtarajiwa
Gwajima ni super star
Kwani Pengo kamfanya nini?
Anataka kutoroka aende wapo huyu tapeli? Adhibitiwe huyu mpuuzi.
Kuna kitu kipya hapa kinakuja-Maaskofu wana baraza lao-polisi wa nini?Halafu eti Askofu amezimia yupo mahututi tena baada ya kuhojiwa polisi mmmh!Bila shaka Pengo alitumwa na serikali aongee vile,Mtu yeyote akipinga ameipinga serikali-Anayepinga serikali ni muhaini-Na muhaini adhabu yake ni kifo
Taifa la Tanzania limekuwa na umoja, amani na mshikamano kwa miongo kadhaa. kwasasa serikali imejikwaa na kwabahati mbaya tuna viongozi wapumbavu, wajinga na walevi wa madaraka mfano
1. Waziri mkuu Pita Pinda - mahakama ya kadhi
2. Stevin Wassira - uchinjaji, Ibada na haki yakuchinja
3. Jakaya M. Kikwete - katiba mpya na mauzauza ya kuyumbishwa misingi ya utawara bora, Zanzibar na wimbo wa Taifa lake, katiba yake, bendera yake nk
Unapokuwa na viongozi ambao uwezo wao wakufikiri umegota kwenye msingi mmoja mkuu yaana divide and rule - nidhahili taifa linaenda kuangamia
a) Waislam na Wakristu wanafitinishwa bila sababu zozote za maana
b) Vyama vya siasa vinafitinishwa bila sababu, uteswaji na mauwaji
c) Wakristu kwa wakristu wanafitinishwa
d) Waislam kwa waislam wanafitinishwa
e)Raia kwa raia wanafitinishwa
f) Polisi na raia, polisi na vyama vya siasa wanafitinishwa
Mwisho wahaya yote nimmoja tu Taifa kuingia vitani, ukitafuta sababu ni uchu na urafi wa madaraka kwa ccm na viongozi wake.
Na-Olewenu nyinyi mnaokula nakusaza sasa nakushabikia upuuzi huu, maana siku yaja sote tutatapakaa huku na kule kuomba pakujificha na wala hakuna atakayebaki salama.
Anapewa adabu tu dogo huyo ili iwe fundisho kwa wengine
Hivi akifa Pengo atajisikiaje shujaa ama nayeye atakuwa kashiriki kwenye mstari wa mauwaji.
Usikumbushe ya Bucha za Nguruwe ....hawa jamaa bado wanayo rohoni na sasa mahakama......acheni hiyo kabisa.
Yupo chini ya uangalizi wa waumini wake.
Source: Tanzania Daima, Nipashe...
Sijawahi kuona kiongozi wa dini mwoga kama Gwajima. Nimesikiliza audio wakati anatoa taarifa kwa waumini wake Arusha kuhusu kuitwa Central polisi. Du! Jamaa ameongea kwa nidhamu na kujitetea tetea huwezi amini ndio yule aliyekuwa anaporosha madongo makavu kwa Pengo. My take "Usijaribu sumu kwa kuilamba"
Sikutegemea kauli kama hii kutoka kwa mtu wa mbeya ambako ni miongoni mwa mikoa yenye watu wanaoelewa harakati so fuki yu bitch!
Wewe Adolay kwanini unamtukana Rais kwa kumwita mpumbavu, mjinga na mlevi???!!!
Subiri uone matokeo yake.
Polifisiem hao. Sijui walimfanyia nini siku ile pale sentro kwa Kova.
KUMBUKUMBU LA TORATI 28:7
Bwana atafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako;
Watakutokea kwa njia moja,lakini watakimbia mbele zako kwa njia saba.
zaburi 35:26
Waaibishwe,Wafedheheshwe pamoja.
Wanaoifurahia hali yangu mbaya.
Wavikwe aibu na fedheha. Wanaojikuza juu yangu.
zaburi 35:4
Waabishwe,
Wafedheheshwe,
Wanaoitafuta nafsi yangu.
Warudishwe nyuma,
Wafadhaishwe, Wanao nizulia mabaya.
Hivi hao wasaidizi wake wote hakuna mwenye kipaji hata nusu ya gwajima amuombee apone haraka?