Hali ya mchungaji Gwajima mahututi ICU

Hali ya mchungaji Gwajima mahututi ICU

Status
Not open for further replies.
swali la kujiuliza kwa nini alizimia baada ya polis kumwambia kuwa wanataka wakakague nyumba yake. Je nyumbani kwake kuna vitu gani? ambavyo hataki polis wavione

Toooba kumbe ndio hayo kama kukagua waanze kwa mwingira, mzee wa upako, madamu g lwakatare, sijui wale wa, sloamu mbona wengine hawatarudi tena huko.
 
Akifa huyu askofu..nani atabeba lawama.

Atakuwa Pengo manake maandiko ya dini yanatufundisha kusamehe hata Yesu walimdhihaki na kumtemea mate lakini aliwasamehe kwa vile hawakujua walitendalo, kumbuka kuna mtu alimpiga risasi pop john 11 lakini alimsamehe sasa ndio tunaona watu wenye roho ya mbwa mwitu wanapovaa ngozi ya kondoo tutawajua kwa matendo yao.
 
swali la kujiuliza kwa nini alizimia baada ya polis kumwambia kuwa wanataka wakakague nyumba yake. Je nyumbani kwake kuna vitu gani? ambavyo hataki polis wavione

Je kama aliitwa kwa kumkashifu Kardinal Pengo, kulikuwa na sababu gani ya kutaka kwenda nyumbani kwake??
 
Mauti ya Gwajima, kama atafariki, 100% iko juu ya kichwa cha Suleimani Kova, Salumu Pinda, J.kikwete na Membe.

Pengo ametumiwa tu kama yule kijana aliyetumiwaga kusema kauziwa nyama ya nguruwe kwenye bucha waakti wa vita ya mabucha ya maguruwe dar siku za Mrema.

NANI HAWAFAHAMU?

Usikumbushe ya Bucha za Nguruwe ....hawa jamaa bado wanayo rohoni na sasa mahakama......acheni hiyo kabisa.
 
Sasa nani anaendesha kanisa au waumini wameambiwa wafunge mpaka atakaporudi mwenyewe?
Kuna warithi hawa,
Senior Pastors: Yekonia Bihagaza na Baraka Thomas. Nadhani watakuwa wakiomba Askofu wao avute faster warithi mikoba. Nani hataki kutembelea Chopper na Hummer3??
 
Kazi ya kukemea tena mapepo makubwa makubwa yasiyolitakia mema taifa hili si ndogo. Ni halali yake awe ICU. Watu wasidhani kazi ya kulikomboa taifa lenye watu wanaotawala kwa nguvu za giza ni lelemama. Shekh mmoja alisema anamwongezea JK ulinzi usioonekana. Wengine wanakata viungo vya ndugu zetu albino ili waendelee kutawala, n.k. Mungu atuongezee akina Gwajima wengine ili kazi yake iende katika taifa hili.
 
Sijawahi kuona kiongozi wa dini mwoga kama Gwajima. Nimesikiliza audio wakati anatoa taarifa kwa waumini wake Arusha kuhusu kuitwa Central polisi. Du! Jamaa ameongea kwa nidhamu na kujitetea tetea huwezi amini ndio yule aliyekuwa anaporosha madongo makavu kwa Pengo. My take "Usijaribu sumu kwa kuilamba"
 
swali la kujiuliza kwa nini alizimia baada ya polis kumwambia kuwa wanataka wakakague nyumba yake. Je nyumbani kwake kuna vitu gani? ambavyo hataki polis wavione

kesi yake ni kuhusu pengo, sasa nyumba yake inahusiana na nini?
Na hakuna kitu kama hicho, eti wakakague kwake kisha mtu azimie.
 
Gwajima hutakufa Bali utaishi.zabur ya ishirini na tano nakuunganisha nayo.ulinZi wa mungu kwa mtumishi wake ni mkubwa zaidi ya raisi wa nchi
 
kwa nn watu mnakimbilia kusema kuwa polisi walitaka kumuua,wakamuwekea sumu?

auliwe kwani yeye ana hatari gani kwa tanzania?

mbona sio tishio hata kidogo,kuna watu ambao ukisema serikali au polisi inataka kuwaua unaweza kujenga hoja lakini sio gwajima.

na pia kama wangetaka kumuua wasinge tumia mbinu mbovu ya sumu kwenye mic.

kagame amekua anawaua watu wote ambao kwanjia moja au nyingine wametishia kuuporomosha utawala wake,sasa gwajima auliwe na polisi ana hatari gani kwa taifa?

waumini wake na wafuasi wake ni sehem gani ya taifa?ni wachache sana,ni kama tone tu.

kwa nn serikali imuue,yy anajulikana kua anaongea vitu kwa pupa, aliongea kuhusu dengue,kitu ambacho ni cha kitaalam yy akakiongelea kwa kijinga.

hii kusema kuwa kawekewa sumu ni kutafuta pa kutokea tu

labda yy kapata mshtuko tu,hakutegemea kua alivyokua anaongea vile kwa kujisifu na kutaka umaarufu na kushanguliwa vinge mgeuka.

mishtuko kama hii inawakuta wengi,sio yeye wa kwanza.na yy ni binadamu tu kama wengine,na pia inasemekana kua hakula chakula kwa mda mrefu.vyote vinawwzekana.

lakini kutaka kuuliwa NO
 
Sijawahi kuona kiongozi wa dini mwoga kama Gwajima. Nimesikiliza audio wakati anatoa taarifa kwa waumini wake Arusha kuhusu kuitwa Central polisi. Du! Jamaa ameongea kwa nidhamu na kujitetea tetea huwezi amini ndio yule aliyekuwa anaporosha madongo makavu kwa Pengo. My take "Usijaribu sumu kwa kuilamba"

Jamaa muoga kweli na akaanza kuingizia maswala ya mahakama ya kadhi wakati Pengo hakuzungumzia hilo swala
 
Atakuwa Pengo manake maandiko ya dini yanatufundisha kusamehe hata Yesu walimdhihaki na kumtemea mate lakini aliwasamehe kwa vile hawakujua walitendalo, kumbuka kuna mtu alimpiga risasi pop john 11 lakini alimsamehe sasa ndio tunaona watu wenye roho ya mbwa mwitu wanapovaa ngozi ya kondoo tutawajua kwa matendo yao.

Nyamaza wewe! Pengo hajatia neno lolote tangu sakata hili lianze. Tafuta mwingine wa kumpaka matope
 
kwa nn watu mnakimbilia kusema kuwa polisi walitaka kumuua,wakamuwekea sumu?

auliwe kwani yeye ana hatari gani kwa tanzania?

mbona sio tishio hata kidogo,kuna watu ambao ukisema serikali au polisi inataka kuwaua unaweza kujenga hoja lakini sio gwajima.

na pia kama wangetaka kumuua wasinge tumia mbinu mbovu ya sumu kwenye mic.

kagame amekua anawaua watu wote ambao kwanjia moja au nyingine wametishia kuuporomosha utawala wake,sasa gwajima auliwe na polisi ana hatari gani kwa taifa?

waumini wake na wafuasi wake ni sehem gani ya taifa?ni wachache sana,ni kama tone tu.

kwa nn serikali imuue,yy anajulikana kua anaongea vitu kwa pupa, aliongea kuhusu dengue,kitu ambacho ni cha kitaalam yy akakiongelea kwa kijinga.

hii kusema kuwa kawekewa sumu ni kutafuta pa kutokea tu

labda yy kapata mshtuko tu,hakutegemea kua alivyokua anaongea vile kwa kujisifu na kutaka umaarufu na kushanguliwa vinge mgeuka.

mishtuko kama hii inawakuta wengi,sio yeye wa kwanza.na yy ni binadamu tu kama wengine,na pia inasemekana kua hakula chakula kwa mda mrefu.vyote vinawwzekana.

lakini kutaka kuuliwa NO

Dah!!!!kumbe ndio huyu alisema Hakuna ugonjwa wa Dengu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom