Hali ya mchungaji Gwajima mahututi ICU

Hali ya mchungaji Gwajima mahututi ICU

Status
Not open for further replies.
Uenda kapigwa pigo na malaika wa Mungu kumtukana Pengo maana kama ilikuwa njama za binadamu basi angeletewa ufunuo lakini pigo la Mungu kambania kumpa Ufunuo
 
Jaman kova!! Acha Mambo yako .?mbona tanga ulishindwa!? muache gwajima afanye kaz ya mungu!!
 
Pamoja na kuwa mkatoriki, Gwajima amesimamia ukweli na tutamkumbuka daima
 
Pengo, Pinda wanatoka Sumvawanga. Kazi kweli kweli
 
Yupo chini ya uangalizi wa waumini wake.

Source: Tanzania Daima, Nipashe...

Wale malaika waliotumwa kwenda kwa Askofu Pengo kumpa "pigo" wamedunda! Wamerudi kwa aliyewatuma na kumpa kipigo aliyewatuma. Hiyo ndiyo kawaida ya majini. Wale malaika aliowatuma Gwajima kwenda kwa Askofu Pengo hawakuwa malaika bali ni majini. Maana malaika huwa hawafanyi kazi kwa kutumwa na wanadamu. Anayebisha tuanze kuungurumisha maandiko sasa hivi hapahapa....!!!!!!
 
Uenda kapigwa pigo na malaika wa Mungu kumtukana Pengo maana kama ilikuwa njama za binadamu basi angeletewa ufunuo lakini pigo la Mungu kambania kumpa Ufunuo
mitume walichinjwaa ijekuwa kutukanwa pengo.aache upadri aendee kwenye siasa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom