Hali ya mchungaji Gwajima mahututi ICU

Hali ya mchungaji Gwajima mahututi ICU

Status
Not open for further replies.
Jamaa hana busara hata kidoo polisi tu wanafanya azimie sijui mungu akimuuliza kuhusu wizi wake wa wake za watu atasema nini.
mh rais JK-hakuna mahakama ya kukatana mikono, kuchomana visu, kuoana miaka tisa, kudondoshana kwenye magorofa
MH RAIS JK=GWAJIMA TATU, pengo bila. JK ndiye refa wa mechi hii.

GWAJIMA HAKUTUKANA alitumia maneno yasiyoremba
 
KUMBUKUMBU LA TORATI 28:7

Bwana atafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako;
Watakutokea kwa njia moja,lakini watakimbia mbele zako kwa njia saba.
 
Jamaa hana busara hata
kidoo polisi tu wanafanya azimie sijui mungu akimuuliza kuhusu wizi
wake wa wake za watu atasema nini.

Vipi kuhusu mapadre walawiti? Au kwa vile wakifa mnawaombea misala ya wafu kisha mungu-maria (sanamu) anawapeleka paradiso! Kila ikifika Novemba tunawaonaga makaburini kwa kazi hiyo!
 
Kuna kitu kipya hapa kinakuja-Maaskofu wana baraza lao-polisi wa nini?Halafu eti Askofu amezimia yupo mahututi tena baada ya kuhojiwa polisi mmmh!Bila shaka Pengo alitumwa na serikali aongee vile,Mtu yeyote akipinga ameipinga serikali-Anayepinga serikali ni muhaini-Na muhaini adhabu yake ni kifo
 
Gwajima, alimwita Pengo Mpuuzi, Mjinga, kwa kusaliti azimio aliloshiriki pamoja na viongozi wengine wa kidini. Pengo hakuwa akijua amechezeshwa shere na Salumu Pinda wakati anatamka vile.

Wewe unamwita Gwajima muhuni kwa maslahi ya nani? Nani unamsaidia katika kumpiga Gwajima? Tena uangalie sana familia yako maana unawatengenezea mateso.


Muulize Lema anajua nini huwa kinawapata watu wahuni kama gwajima wakienda polisi.
 
Mauti ya Gwajima, kama atafariki, 100% iko juu ya kichwa cha Suleimani Kova, Salumu Pinda, J.kikwete na Membe.

Pengo ametumiwa tu kama yule kijana aliyetumiwaga kusema kauziwa nyama ya nguruwe kwenye bucha waakti wa vita ya mabucha ya maguruwe dar siku za Mrema.

NANI HAWAFAHAMU?


Kuna kitu kipya hapa kinakuja-Maaskofu wana baraza lao-polisi wa nini?Halafu eti Askofu amezimia yupo mahututi tena baada ya kuhojiwa polisi mmmh!Bila shaka Pengo alitumwa na serikali aongee vile,Mtu yeyote akipinga ameipinga serikali-Anayepinga serikali ni muhaini-Na muhaini adhabu yake ni kifo
 
Mzinzi anayetumia jina LA Mungu kupora na kuvunja ndoa za watu anastahili kuonja mauti ...bora Israel amchukue tu

ImageUploadedByJamiiForums1427605702.798406.jpg

Huna mamlaka ya kuhukumu dumbass wewe
 
zaburi 59:1-5

Ee Mungu wangu, uniponye na adui zangu,Uniinue juu yao wanaoshindana nami.

Uniponye nao wafanyao maovu,Uniokoe na watu wa damu.

Kwa maana wanaiotea nafsi yangu; Wenye NGUVU wamenikusanyikia:
Ee Bwana si kwa kosa langu, wala si kwa hatia yangu.

Bila kosa langu huenda mbio,hujiweka tayari:
Uamke uonane nami,na kutazama.

Na wewe, Bwana, Mungu wa majeshi,Mungu wa Israel,Uamke. Uwapatilize mataifa yote;

Usiwarehemu waovu wafanyao uovu hata mmoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom