swali la kujiuliza kwa nini alizimia baada ya polis kumwambia kuwa wanataka wakakague nyumba yake. Je nyumbani kwake kuna vitu gani? ambavyo hataki polis wavione
Taifa la Tanzania limekuwa na umoja, amani na mshikamano kwa miongo kadhaa. kwasasa serikali imejikwaa na kwabahati mbaya tuna viongozi wapumbavu, wajinga na walevi wa madaraka mfano
1. Waziri mkuu Pita Pinda - mahakama ya kadhi
2. Stevin Wassira - uchinjaji, Ibada na haki yakuchinja
3. Jakaya M. Kikwete - katiba mpya na mauzauza ya kuyumbishwa misingi ya utawara bora, Zanzibar na wimbo wa Taifa lake, katiba yake, bendera yake nk
Unapokuwa na viongozi ambao uwezo wao wakufikiri umegota kwenye msingi mmoja mkuu yaana divide and rule - nidhahili taifa linaenda kuangamia
a) Waislam na Wakristu wanafitinishwa bila sababu zozote za maana
b) Vyama vya siasa vinafitinishwa bila sababu, uteswaji na mauwaji
c) Wakristu kwa wakristu wanafitinishwa
d) Waislam kwa waislam wanafitinishwa
e)Raia kwa raia wanafitinishwa
f) Polisi na raia, polisi na vyama vya siasa wanafitinishwa
Mwisho wahaya yote nimmoja tu Taifa kuingia vitani, ukitafuta sababu ni uchu na urafi wa madaraka kwa ccm na viongozi wake.
Na-Olewenu nyinyi mnaokula nakusaza sasa nakushabikia upuuzi huu, maana siku yaja sote tutatapakaa huku na kule kuomba pakujificha na wala hakuna atakayebaki salama.
Aisee yaani watu mnafanya novena kisa askofu wa ccm kaambiwa kavaa pampers aisee misukule Tz haitakuja kuisha.
Anapewa adabu tu dogo huyo ili iwe fundisho kwa wengine
Unawaibisha watu Mbeya - miss_mbeya.
you can do better than this. Mbeya have brighter people.
Do you mean im not among of them? That is individual differences
swali la kujiuliza kwa nini alizimia baada ya polis kumwambia kuwa wanataka wakakague nyumba yake. Je nyumbani kwake kuna vitu gani? ambavyo hataki polis wavione
Ujinga... Polonium haifanyi kazi unavyodhani. Its not a quick acting agent
Tatizo lako unaandika usiyoyaamin wala kuyajuwa
mimi naomba unipe ufafanu/majibu ya yafiatayo
Umejiuliza haya:-
1. Vipi polisi wamwite kama sio tishio
2.Vipi harakaharaka Kikwete ametoa hotuba
kujibu ya maaskofu na mashekhe baada ya
mnyukano tunao ushuhudia.
3. Vipi serikali umeuficha muswaada wake
wakishenzi ilikuwagawa watanzania
Msipende kutowa majibu mepesi kwa mambo
mazito ambayo yanawachanganya viongozi
nakuliweka Taifa njiapanda.
Anauza unga wa sembe ya Afghanistan
Hakuna hata haja ya kumwombea uponyaji.
mpakwa mafuta ni nani?
Gwajima haamki mpaka Flora arudi kwa mumewe