Kategeshewa polonium 210, hiii kitu ni hataree kweli kweli kolimba, arafat, chavez, osama....wanaijua!
ICU halafu chini ya uangalizi wa waumini wake...
Mnajua nn maana ya ICU
Waumini na wasaidizi wake wapo kwa ajili ya kuimarisha usalama wake.ICU halafu yupo chini ya uangalizi wa wasaidizi wake!!! Duuuh?
Akifa huyu askofu..nani atabeba lawama.
Atakuwa Pengo manake maandiko ya dini yanatufundisha kusamehe hata Yesu walimdhihaki na kumtemea mate lakini aliwasamehe kwa vile hawakujua walitendalo, kumbuka kuna mtu alimpiga risasi pop john 11 lakini alimsamehe sasa ndio tunaona watu wenye roho ya mbwa mwitu wanapovaa ngozi ya kondoo tutawajua kwa matendo yao.
Je kama aliitwa kwa kumkashifu Kardinal Pengo, kulikuwa na sababu gani ya kutaka kwenda nyumbani kwake??
kwa nn watu mnakimbilia kusema kuwa polisi walitaka kumuua,wakamuwekea sumu?
auliwe kwani yeye ana hatari gani kwa tanzania?
mbona sio tishio hata kidogo,kuna watu ambao ukisema serikali au polisi inataka kuwaua unaweza kujenga hoja lakini sio gwajima.
na pia kama wangetaka kumuua wasinge tumia mbinu mbovu ya sumu kwenye mic.
kagame amekua anawaua watu wote ambao kwanjia moja au nyingine wametishia kuuporomosha utawala wake,sasa gwajima auliwe na polisi ana hatari gani kwa taifa?
waumini wake na wafuasi wake ni sehem gani ya taifa?ni wachache sana,ni kama tone tu.
kwa nn serikali imuue,yy anajulikana kua anaongea vitu kwa pupa, aliongea kuhusu dengue,kitu ambacho ni cha kitaalam yy akakiongelea kwa kijinga.
hii kusema kuwa kawekewa sumu ni kutafuta pa kutokea tu
labda yy kapata mshtuko tu,hakutegemea kua alivyokua anaongea vile kwa kujisifu na kutaka umaarufu na kushanguliwa vinge mgeuka.
mishtuko kama hii inawakuta wengi,sio yeye wa kwanza.na yy ni binadamu tu kama wengine,na pia inasemekana kua hakula chakula kwa mda mrefu.vyote vinawwzekana.
lakini kutaka kuuliwa NO
kesi yake ni kuhusu pengo, sasa nyumba yake inahusiana na nini?
Na hakuna kitu kama hicho, eti wakakague kwake kisha mtu azimie.
Gwajima hutakufa Bali utaishi.zabur ya ishirini na tano nakuunganisha nayo.ulinZi wa mungu kwa mtumishi wake ni mkubwa zaidi ya raisi wa nchi
Kama ni kweli yuu msafi hakuna jinsi angezimia,
Otherwise ni mchafu kupitiliza, ngozi ya kondoo hiyo
Mimi nami najiuliza Sana, wamemfanyia nini mtu ambae haogopi hata police
Aisee yaani watu mnafanya novena kisa askofu wa ccm kaambiwa kavaa pampers aisee misukule Tz haitakuja kuisha.
Haogopi Polisi? ???
Zilikuwa mbwembwe tu kilichompanickisha aende Polisi ijumaa badala ya J3 aliyoisema mwenyewe ni nini?
Masikio hayapiti kichwa...
Hata siku moja
Ulijuaje tz kuna misukule wengi kama na wewe si msukule?
Hakuna mahala popote palipoandikwa yu na haki mtu kumtukana, kumkebehi mpakwa mafuta wa Mungu.
mpakwa mafuta ni nani?