Kazi ya police kuuwa bila kutumia virungu inaendelea kuonekana.Siwapendi police wa Tanzania kuliko kitu chochote kwa hapa kwetu
huyu si ndio aliagiza malaika wakampige pengo au nakosea?
yani kuhojiwa tu na polisi pressure imempanda, siku akihijiwa na Mungu kwa yale matusi itakuwaje,mbwebwe kibao kumbe ndina tu.
Mtamaliza vifungu vyote vya biblia. Dawa ni moja tu. Atubu. Lasivyo Atakufa.
Kumbukeni pengo ni kichwa kutoka sumbawanga
Kuna kitu anaweza kuwa kafanyiwa siyo bure mkasema jamaa machicha kumbe kuna mkono wa mtu.
Polifisiem hao. Sijui walimfanyia nini siku ile pale sentro kwa Kova.
Kolimbaism system inawezekana bado iko active mkuu.
Polifisiem hao. Sijui walimfanyia nini siku ile pale sentro kwa Kova.
Muulize Lema anajua nini huwa kinawapata watu wahuni kama gwajima wakienda polisi.