King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,502
- 96,791
Wasidhani wanamkomoa bali ndio wanazidi kujivua nguo, wananchi tunaelewa jitihada za ZittoWanamkomoa Nyepesi
Wasidhani wanamkomoa bali ndio wanazidi kujivua nguo, wananchi tunaelewa jitihada za ZittoWanamkomoa Nyepesi
Kwanza wewe kama wewe unaifahamu jiografia vizuri ya mkoa wakigoma na pia unafahamu kwamba ramani ya mkoa wa kigoma ilipimwa pamoja na mkoa wa nairobi na unafahamu wazee wa kigoma walikuwa ni wafanya biashara wakubwa kabla ya wazee wenu huko uliko wewe na unafahamu wazee wakigoma walikuwa hawavai kaniki kama walivyokuwa wanavaa wazee wenu huko uliko wewe wala sina haja ya kupajua unachitakiwa kujua kijana hali ya kigoma kuwa kama ilivyo ilisababishwa kwa makusudi kuwa hivyo ilivyo.Nimeamini kumbe wewe umekaririsha hauna uthibitisho wa unachoongea kama haujui historia ya mkoa huo uliza uambiwe kijana jiepushe na kukuruka kwa kuongea vitu vya kukaririshwa na usivyo vijua.
Wewe kaishi basi mkoa wa giza. Embu angalieni wenzenu wa kaskazini kama kilimanjaro walivyojiletea maendeleo wenyewe. Nyie paka serikali iwaletee. Nikikuambia umelogwa unabisha.Nimeamini kumbe wewe umekaririsha hauna uthibitisho wa unachoongea kama haujui historia ya mkoa huo uliza uambiwe kijana jiepushe na kukuruka kwa kuongea vitu vya kukaririshwa na usivyo vijua.
Hivi wewe unafahamu mchango wawatu wa kigoma katika historia ya nchi hii au unaamua kuropoka kijana wangu tena au unamfahamu hayati SHEIKH AMRI ABEID KARUTA ambaye kumbu kumbu yake ni uwanja wa Arusha amba ulipewa jina lake, jaribu kuuliza alikuwa ni nani na alitokea wapi , kwaheri?Kwani umesahau walim kulazwa nje? Hupajui wanapopaita kuzimuni. Hujui kila nyumba inamchawi hapo maendeleo yajeje sasa. Wacha muishi kikimbizi
Ushindwe na ulegee pepo weye!!Msiwe mnawachagua! Mjifunze katika hili!!
Yale si yana miradi yao kwa wakimbizi? Hawawezi ku deal na matatizo yetu kama nchiHalafu utashangaa kuna mashirika mengi 'NGOs' yanayofanya kazi hapa yanayojiita ni ya maendeleo, hadi ya UN Yamejaa. Kumbe serikali ilitakiwa itumie fursa hiyo kuleta maendeleo ikiwezekana kuyafukuza hasa mashirika ya UN waondoke na wakimbizi wao endapo yatakataa kuwa support wananchi wa Kigoma
Mashine gani, nahisi upo nje ya thread
Mkuu hao wasomi wanajua kama mambo sio sawa sema wafanyaje maana ukimchallenge JIWE tu lazima akutengue papo kwa papo so inabidi waende nae sawa kumsifia tu na kumpamba.Mkuu hii nchi ukifikiria sana
Unashindwa kuelewa,hivi ina wasomi?
Na ukitaka kuona maajabu fuatilia Bunge
Hivi haijaisha tu ile barabara tangu 2013Mbona hujataja usafiri mkuu? Hapa nina bonge la mafua na homa kwa lile vumbi la barabara za vumbi.Barabara inajengwa haiiishi.
Mungua anawaona serikali
Hivi haijaisha tu ile barabara tangu 2013
Ahahahahaahahaahaha lakini kodi wanaziona AhahahhahahahaahjhhahajaSerikali ikipeleka maendeleo hua inakuta Bwawa tu inarudi. Ondoeni mabwawa kwanza maendeleo yaletwe [emoji41] [emoji41]
Umeme shida, maji ndio usisema. Kibaya zaidi hatuambiwi kuna shida gani na waandishi waliopo hapa mkoani wapo kimya. ukweli hatuwaelewii! Hebu jitokezeni hapa mtwambie.
Unataka aseme na kalio ndio umuelewe?mbona Zitto huwa hasemi?
Huu ni uongo, wananchi wa Kilimanjaro hawakujiletea maendeleo yao wenyewe, bali serikali. Viongozi wengi hasa mawaziri wa fedha walitokea mkoa huo hivyo basi walifanya upendeleo wa kufuru kujipelekea budget /pesa nyingi za serikali za maendeleo kwao. Nahisi wewe ni mtu usiyeelewa historia ya nchi yako, na kuwasimanga wengine, pole sana.Wewe kaishi basi mkoa wa giza. Embu angalieni wenzenu wa kaskazini kama kilimanjaro walivyojiletea maendeleo wenyewe. Nyie paka serikali iwaletee. Nikikuambia umelogwa unabisha.
Ok nimeelewa. Ni kweli mashine zipo tena mupya kabisa. Lakini nasikia zinakunywa mafuta/fuel kama zimwi na sasa zinawashinda kuziendesha, hata sijui kwanini waliziweka.Anaongelea mashine za kuzalishia umeme. Kgm wanatumia jenereta zilizoko pale Bangwe, kuzalisha umeme. Hawapk ktk grid
Huko mwanza wananchi wamekamilisha ujenzi wa kituo cha polisi kwa pesa zao wenyewe ili kutokomeza uhalifu, huko huko pia kuna wananchi wanajenga kituo cha afya kwa kuchangishana wao. Vipi hapo?Huu ni uongo, wananchi wa Kilimanjaro hawakujiletea maendeleo yao wenyewe, bali serikali. Viongozi wengi hasa mawaziri wa fedha walitokea mkoa huo hivyo basi walifanya upendeleo wa kufuru kujipelekea budget /pesa nyingi za serikali za maendeleo kwao. Nahisi wewe ni mtu usiyeelewa historia ya nchi yako, na kuwasimanga wengine, pole sana.
Ok nimeelewa. Ni kweli mashine zipo tena mupya kabisa. Lakini nasikia zinakunywa mafuta/fuel kama zimwi na sasa zinawashinda kuziendesha, hata sijui kwanini waliziweka.