Hali ya Kigoma imerudi kama enzi za Mkapa

Umeme shida, maji ndio usisema. Kibaya zaidi hatuambiwi kuna shida gani na waandishi waliopo hapa mkoani wapo kimya. ukweli hatuwaelewii! Hebu jitokezeni hapa mtwambie.
Kapande boti pale kibirizi nenda gombe kaangalie zako sokwe ukirudi jioni umeme utakuwa umerudi🙂🙂🙂🙂 Anyway kuna mradi nyakanazi wa kuleta umeme wa gridi kigoma vuta subira
 
Moja ya manispaa zilizopendelewa hapa Tanzania ni Kigoma/ Ujiji. Kila nikitizama barabara zilivyotengenezwa na kuwekewa solar lights ingawa wao wenyeji wanaiba na kuzipeleka kwa wavuvi , stand mpya ilivyojenga achilia ile ya ujiji ambayo imekuwa sehemu ya mbuzi kupumzikia . Bus stand hizi mbili jinsi zilivyojengwa hapa kwa Dar hakuna. Barabara yenye kiwango lami za high way kutokea mwasenga mpaka airport road, kutokea msikiti wa Melini mpaka makao makuu ya ofisi za ACT ,ni uwekezaji mkubwa mno. Ila sasa nilichogundua pale watu hawapendi maendeleo na ukiwasumbua kuhusu maendeleo wako tayari kukuharibia mkate wako. Kigoma wanatumia umeme wa mafuta ,mafuta hayo yapigwa mno kiasi kwamba procurement officer wa tanesco lazima anajiuliza mara mbili jinsi ya ku request mengine. Leo ngoja niishie hapa kwa nilichojifunza/ kuona Kigoma mjini
 
Kilimanjaro ilijikita kwenye elimu hata kabla ya uhuru. Karibia kila kijiji kilikuwa na shule ya msingi na sekondari na zilijengwa na wazazi. Hivyo Karibia Tanzania nzima ikawa inategemea Kilimanjaro kwa elimu. Na miundombinu walijenga wananchi Wa Kilimanjaro so serikali ikaongeza nguvu baada ya jitihada za wananchi. Wananchi Wa Kilimanjaro haitegemei serikali kutafuta masoko yao ya biashara. Wananchi wanatafuta wenyewe. Sasa kigoma elimu hawataki wanategemea ushirikina, maendeleo uwapelekee yanini!?
africa tunasafari ndefu sana...naaminu kuna viongozi wengi wapo na walikuwapo wanamtazamo wa namana hii.
 
Moja ya manispaa zilizopendelewa hapa Tanzania ni Kigoma/ Ujiji. Kila nikitizama barabara zilivyotengenezwa na kuwekewa solar lights ingawa wao wenyeji wanaiba na kuzipeleka kwa wavuvi , stand mpya ilivyojenga achilia ile ya ujiji ambayo imekuwa sehemu ya mbuzi kupumzikia . Bus stand hizi mbili jinsi zilivyojengwa hapa kwa Dar hakuna. Barabara yenye kiwango lami za high way kutokea mwasenga mpaka airport road, kutokea msikiti wa Melini mpaka makao makuu ya ofisi za ACT ,ni uwekezaji mkubwa mno. Ila sasa nilichogundua pale watu hawapendi maendeleo na ukiwasumbua kuhusu maendeleo wako tayari kukuharibia mkate wako. Kigoma wanatumia umeme wa mafuta ,mafuta hayo yapigwa mno kiasi kwamba procurement officer wa tanesco lazima anajiuliza mara mbili jinsi ya ku request mengine. Leo ngoja niishie hapa kwa nilichojifunza/ kuona Kigoma mjini
hahaaa wanasiasa watu wa ajabu sana.
 
[emoji41][emoji41][emoji41]
Hebu%20jaribu%20kueleza%20ujumbe%20una%C3%B2jitokeza%20kwenye%20mchoro%20huu%20wa%20katuni%20...jpeg
 
Umeme shida, maji ndio usisema. Kibaya zaidi hatuambiwi kuna shida gani na waandishi waliopo hapa mkoani wapo kimya. ukweli hatuwaelewii! Hebu jitokezeni hapa mtwambie.
Si mmechagua mbunge hivi karibuni na alikuwa akijinadi kweli kweli!!!!!, ni utani tu
 
we umeshaambiwa ni serikali ya wanyonge bado unahoji tu. Yaani ataendelea kuwafamya wanyonge mpaka mnyongeke huo ni mwanzo tu... meno yakikongoroka yote mtalimia kucha
Daah we Jamaa kwa kukatishana tamaa ni noma
 
This time around, wapiga kura wa Kigoma mjini lazima wafanye maamuzi magumu kwani mtetezi wa masuala yao ya maendeleo amejikita sana kwenye ku-criticise national policies na kusoma data za bank kuu na IMF.
Sijawahi msikia akiongelea masuala ya maji, umeme, madawa, barabara n.k. na badala ametumia nguvu nyingi sana kuwa national policy critic na kuonyesha kuwa ana interest za kitaifa zaidi kuliko za kibunge.
Mwenendo huu umekuwepo kwa muda mrefu sasa na atuachie jimbo letu kwa mtetezi mahiri wa jimbo atakae jikita kwenye masuala ya maendeleo jimboni na mkoa kwa ujumla.
To his credit, he is very analytical and possess deep knowledge of national and international issues but when it comes to things that matters to his constituency, he has let the guard down. And this is the opinion of many members of this constituency including myself.
 
Nenda kigoma mjini uone ilivyobadirika chini ya zitto halafu uje hapa kuleta ushuhuda.

Kigoma mjini chini ya zitto Kabwe ndio jimbo lenye Maendeleo mengi zaidi kuliko majimbo yote kigoma
 
Back
Top Bottom