Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
tatizo lenu watu wa kigoma tukija kuwatembelea tunakuta bwawa au miti ya mirumbwa sasa tutawaleteaje maendeleo
Mashine gani, nahisi upo nje ya threadMashine vp imeharibika?
Bosi wao yupo bize kupiga dili za AcaciaUmeme shida, maji ndio usisema. Kibaya zaidi hatuambiwi kuna shida gani na waandishi waliopo hapa mkoani wapo kimya. ukweli hatuwaelewii! Hebu jitokezeni hapa mtwambie.
hili ni eneo ambalo nashauri waigizaji wa filamu za kivita na uchawi wawe wanakwenda kuigizia hukoKigoma sio Tanzania, kama unabisha ukamuulize Kakobe
Wewe ni mjinga ,imani hizi zpo afrika nzima.Mbona ni wananchi wa kigoma wenyewe ndio hawapendi maendeleo. Wananchi wamechagua Uchawi. Wakiacha Mbona maendeleo yatakuja automatically.
Vp kuhusu Mkuu wa mkoa, wa wilaya na mkurugenzi wanakazi gani.Mbunge wenu yupo Masaki Dar, busy na agenda za kitaifa, mnategemea nini? Jamaa anawaza uraisi ambao ataishia kuusikia radioni! Angekuwa na akili angekomaa na wananchi wake, kelele zake zinaishia kuwaponza wananchi. CCM hawaelewagi ati, full kukomoana!
Lakini hawaziendekezi kama wanakigomaWewe ni mjinga ,imani hizi zpo afrika nzima.
Ninawasiwasi na wewe ukawa ndio mchawi unaowachawia kigoma wasipate maendeleo "mchawi mkubwa wewe na ukoo wako wot"Lakini hawaziendekezi kama wanakigoma
Hayo unaongea wewe ila ukweli hata wakigoma wanajenga mikoa Jirani kama mwanza ,Dar na kwengine. Wanaogopa kujenga kwao kwakuwa watalogwa. Kama wewe ni wakigoma mbona hujajenga kwenu?Ninawasiwasi na wewe ukawa ndio mchawi unaowachawia kigoma wasipate maendeleo "mchawi mkubwa wewe na ukoo wako wot"
Ni mkoa wa burundi auKigoma sio Tanzania, kama unabisha ukamuulize Kakobe
Hizo ni imani za kishirikina na ambazo ulizo nazo wewe ambazo ulizopandikizwa kwenye hiyo kichwa yako mbovu na unataka kutiambukiza na sisi badilika kijana tena inaonekana wewe ni wakigoma uliyepandikizwa hiyo imani ya kishirikina , embu nipe mfano mmoja ulio hai kwamba kuna kajenga kigoma halafu karogwa.Hayo unaongea wewe ila ukweli hata wakigoma wanajenga mikoa Jirani kama mwanza ,Dar na kwengine. Wanaogopa kujenga kwao kwakuwa watalogwa. Kama wewe ni wakigoma mbona hujajenga kwenu?
Huyo anasema kigoma sio tanzania ndio hao hao wanaosema kigoma ukijenga unarogwa basi kusingekuwa na nyumba huko kgomaNi mkoa wa burundi au
Kwani umesahau walim kulazwa nje? Hupajui wanapopaita kuzimuni. Hujui kila nyumba inamchawi hapo maendeleo yajeje sasa. Wacha muishi kikimbiziHizo ni imani za kishirikina na ambazo ulizo nazo wewe ambazo ulizopandikizwa kwenye hiyo kichwa yako mbovu na unataka kutiambukiza na sisi badilika kijana tena inaonekana wewe ni wakigoma uliyepandikizwa hiyo imani ya kishirikina , embu nipe mfano mmoja ulio hai kwamba kuna kajenga kigoma halafu karogwa.
Nimeamini kumbe wewe umekaririsha hauna uthibitisho wa unachoongea kama haujui historia ya mkoa huo uliza uambiwe kijana jiepushe na kukuruka kwa kuongea vitu vya kukaririshwa na usivyo vijua.Kwani umesahau walim kulazwa nje? Hupajui wanapopaita kuzimuni. Hujui kila nyumba inamchawi hapo maendeleo yajeje sasa. Wacha muishi kikimbizi