Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Umeme shida, maji ndio usisema. Kibaya zaidi hatuambiwi kuna shida gani na waandishi waliopo hapa mkoani wapo kimya. ukweli hatuwaelewii! Hebu jitokezeni hapa mtwambie.
Kwani waandishi ndio watatuzi au wawakilishi wa serikali?...Umeme shida, maji ndio usisema. Kibaya zaidi hatuambiwi kuna shida gani na waandishi waliopo hapa mkoani wapo kimya. ukweli hatuwaelewii! Hebu jitokezeni hapa mtwambie.
Mashine vp imeharibika?Umeme shida, maji ndio usisema. Kibaya zaidi hatuambiwi kuna shida gani na waandishi waliopo hapa mkoani wapo kimya. ukweli hatuwaelewii! Hebu jitokezeni hapa mtwambie.
Mbona hujataja usafiri mkuu? Hapa nina bonge la mafua na homa kwa lile vumbi la barabara za vumbi.Barabara inajengwa haiiishi.Umeme shida, maji ndio usisema. Kibaya zaidi hatuambiwi kuna shida gani na waandishi waliopo hapa mkoani wapo kimya. ukweli hatuwaelewii! Hebu jitokezeni hapa mtwambie.
Wabunge wetu wapo, lakini cha ajabu wao wapo kitaifa zaidi wanasahaugi kwao.Kwani hamna wabunge
Wabunge wetu wapo, lakini cha ajabu wao wapo kitaifa zaidi wanasahaugi kwao.
Asante kwa ushauri mzuri mkuu tutaufanyia kaziMsiwe mnawachagua! Mjifunze katika hili!!
Hahaaawe umeshaambiwa ni serikali ya wanyonge bado unahoji tu. Yaani ataendelea kuwafamya wanyonge mpaka mnyongeke huo ni mwanzo tu... meno yakikongoroka yote mtalimia kucha
Halafu utashangaa kuna mashirika mengi 'NGOs' yanayofanya kazi hapa yanayojiita ni ya maendeleo, hadi ya UN Yamejaa. Kumbe serikali ilitakiwa itumie fursa hiyo kuleta maendeleo ikiwezekana kuyafukuza hasa mashirika ya UN waondoke na wakimbizi wao endapo yatakataa kuwa support wananchi wa KigomaHakuna mahali palipotegwa nchii hii kama kigoma watu wanaishi na kuogolea kweny dibwi la umaskini amin usiamin I was the for 6yrs
Mbona mbunge wenu Zitto yuko na mambo mengine tu au kwa kuwa anakaa Masaki Dar?Umeme shida, maji ndio usisema. Kibaya zaidi hatuambiwi kuna shida gani na waandishi waliopo hapa mkoani wapo kimya. ukweli hatuwaelewii! Hebu jitokezeni hapa mtwambie.