Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,610
- 25,762
hayupo sawa huyo kwetu sio marangu ila ina mazingira asilia yanavutia sanaKwanini bro mboni umefika mbali hivyo?
hayupo sawa huyo kwetu sio marangu ila ina mazingira asilia yanavutia sanaKwanini bro mboni umefika mbali hivyo?
Utakuta ni Mzaramo wa Manerumango.hayupo sawa huyo kwetu sio marangu ila ina mazingira asilia yanavutia sana
kwahivyo kuna baridi na milima wakakae wapi ? mbona ulaya lipo zaid ya hapo mzeeUtakuta ni Mzaramo wa Manerumango.
Hapo ChinaBalaa kubwa hili,View attachment 3615397
Na bia wakunywe sana.Watu wazaliane tu kilichobaki 😀😀😀
hali ya hewa inafaa kwa kilimo cha watoto..Balaa kubwa hili,View attachment 3615397
Dar haikuumbwa kuwa makazi ya watu.Kwanini usihamie Dar, saa 3 tu umeshawasha feni?
Pole sana mkuu...!Mimi nilikanyaga huko mwaka jana, nikasema sirudii tena, niliugua pneumonia
Leo huko Tarakea hakuna fog bana😄kwetu hapo tarakea hakufai ni mbeho balaa
sijasemea leo bravo ila hali km hiyo ipogo kipind hikiLeo huko Tarakea hakuna fog bana😄