Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,912
- 27,830
Balaa kubwa hili,
Nipo huku kwa muda tu,lakini hali ni mbaya sana!..(madirisha ya aluminium yalistahili maeneo ya aina hii,hata hivyo tunamadirisha yetu ya vioo vya kimtindo lakini mbeo inapita 😀😀Kwanini usihamie Dar, saa 3 tu umeshawasha feni?
Mimi nilikanyaga huko mwaka jana, nikasema sirudii tena, niliugua pneumoniaNipo huku kwa muda tu,lakini hali ni mbaya sana!..(madirisha ya aluminium yalistahili maeneo ya aina hii,hata hivyo tunamadirisha yetu ya vioo vya kimtindo lakini mbeo inapita 😀😀
Mbona kawaida sana hiyo kwa sehemu kama marangu CrocodiletoothBalaa kubwa hili,View attachment 3615397
⁷Nipo huku kwa muda tu,lakini hali ni mbaya sana!..(madirisha ya aluminium yalistahili maeneo ya aina hii,hata hivyo tunamadirisha yetu ya vioo vya kimtindo lakini mbeo inapita 😀😀
Ingekua ni balaa kama huko marangu kungenyesha ile snow, ila ukungu kitu cha kawaida Equation xHii hali ya hewa naipenda sana, hasa sisi wanywa pombe kali na nyama choma
Hii hali ya hewa naipenda sana, hasa sisi wanywa pombe kali na nyama choma
Inasemekana miaka ya nyuma ilikuwepo, ilikuwa ikishuka toka mlima kilimanjaro; sijajua kwa nini siku hizi haipo.Ingekua ni balaa kama huko marangu kungenyesha ile snow, ila ukungu kitu cha kawaida Equation x
Kaa karibu na shemeji - hutojutia.Nipo huku kwa muda tu,lakini hali ni mbaya sana!..(madirisha ya aluminium yalistahili maeneo ya aina hii,hata hivyo tunamadirisha yetu ya vioo vya kimtindo lakini mbeo inapita 😀😀
Hiyo inaitwa "Imbulimbuli" (au Fog. kwa lugha ya Malkia) Kichaga cha KV.Balaa kubwa hili,View attachment 3615397
Kwanini bro mboni umefika mbali hivyo?Huwezi kuwa na akili timamu ukaishi marangu
Sio inasemekana ilikuwapo, na ukiingia antional park kabisa vituo vya chini ipo. Kutokana na activities na kukata miti, ile hali iliisha barafu ipi juu zaidInasemekana miaka ya nyuma ilikuwepo, ilikuwa ikishuka toka mlima kilimanjaro; sijajua kwa nini siku hizi haipo.