Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,912
- 28,657
Asante, baridi na mimi huwa haviendaniPole sana mkuu...!
Asante, baridi na mimi huwa haviendaniPole sana mkuu...!
Unatakiwa "ujijaladie" sana. - Track suti, sweta au pull neck na soksi vinginevyo hali yako itakuwa mbaya.Hapo inatakiwa ukilala usijigeuze ukisogea tu pembeni godoro lipo kama Friza....
Hivi hapa hakuna mtu wa Makete esp. Iwawa, Dombwela, Ndulamo au Bulongwa akatuambia hali huko ikoje?
Sisi watu wa mbege unatuweka fungu gani?Na bia wakunywe sana.
Au nanyo supu ya masasio au kisusio.Nyoo kimtoryi
Hata dar inategemea uko wapi mkuu, maeneo mengine kuna kibaridi murua kabisa.Kwanini usihamie Dar, saa 3 tu umeshawasha feni?
Kawaida sn hiyo sisi tulioko matamba hali kama hiyo tunatembea mtaani tumevaa singlend, ikizidi kidogo na hapo ndio tunavaa fulana au mashati ya mikono mirefu tukisubiri msimu wa baridi uanzeBalaa kubwa hili,View attachment 3615397
Kama unaishi maeneo yenye baridi miezi hii hautasumbuka sana, shughuli kwa mkazi wa Dar alafu miezi hii ikamkutia Arusha, Kilimanjaro, Njombe, Mbeya au Sumbawanga😂Hii hali ya hewa naipenda sana, hasa sisi wanywa pombe kali na nyama choma
Kama wapi mkuu Dar kuna baridi la kufananisha na mikoa ya ndanda za juu kusini au Kaskazini?Hata dar inategemea uko wapi mkuu, maeneo mengine kuna kibaridi murua kabisa.
Ila mkienda kule Kitulo nadhani mnavalia tofauti.Kawaida sn hiyo sisi tulioko matamba hali kama hiyo tunatembea mtaani tumevaa singlend, ikizidi kidogo na hapo ndio tunavaa fulana au mashati ya mikono mirefu tukisubiri msimu wa baridi uanze
Waafrika tukiona baridi tunawaza kutombana tu. Hatuwezi fursa za maana mfano kubuni air condition yenye mfumo wa kutoa jotoWatu wazaliane tu kilichobaki 😀😀😀
Tatizo pombe,mingi sana,hata huko kuzaliana ninakosema hakupo 😀😀Waafrika tukiona baridi tunawaza kutombana tu. Hatuwezi fursa za maana mfano kubuni air condition yenye mfumo wa kutoa joto
Mbona air conditions zenye mfumo wa kutoa hewa ya joto mbona zipo tayari? Sema shida ni fedha ya kununulia hizo zilizopo tayari.Waafrika tukiona baridi tunawaza kutombana tu. Hatuwezi fursa za maana mfano kubuni air condition yenye mfumo wa kutoa joto
Yeah. Hilo ndo tatizo lililodumu kwa muda mrefu sana huko Urusi. Hata vijana kutoka Tz wanaokwenda kusoma huko wengi wao hurudi wakiwa tayari wameambukizwa tabia hiyo ya ulevi wa kupindukia na matusi kibao.Tatizo pombe,mingi sana,hata huko kuzaliana ninakosema hakupo 😀😀
Nacho emhaayaaAu nanyo supu ya masasio au kisusio.