Hali ya hewa Marangu -Rombo haifai siku ya leo Juni 25

Mbona air conditions zenye mfumo wa kutoa hewa ya joto mbona zipo tayari? Sema shida ni fedha ya kununulia hizo zilizopo tayari.
Kama ni mfanyabiashara unaweza ukaiona fursa na kuwasogezea karibu zaidi maeneo hayo. Hata wakati ving'amuzi vya azam na startimes vinaanza kuingia watu walisema watakula hasara kwa sababu uwezo wa wananchi ni mdogo kwaiyo watabaki kule kuke kwenye antena lakini sasa hivi tunaona karibu kila nyumba ina king'amuzi. The same to majiko ya gesi. Watu walisema wananchi hawana hela watabaki kwenye majiko ya mkaa, lakini tunaona biashara ya gesi inazidi kushamiri
 
Kumbe ni suala la muda tu. Kongole mkuu. Uko positive sana bro.
 
Ha
Hiyo inaitwa "Imbulimbuli" (au Fog. kwa lugha ya Malkia) Kichaga cha KV.
Wenye magari watajua umuhimu na maana ya zile taa (head lights) za njano. ( Hapa Kiteto Manyara leo 25/06/2026 saa saba kaso dk 12, joto ni 22deg. Celcius na mara kadhaa jioni joto hushuka hadi nyuzi 19 centigrade)
Hata nduoni leo jion pana balaaa
 
Hiyo inaitwa "Imbulimbuli" (au Fog. kwa lugha ya Malkia) Kichaga cha KV.
Wenye magari watajua umuhimu na maana ya zile taa (head lights) za njano. ( Hapa Kiteto Manyara leo 25/06/2026 saa saba kaso dk 12, joto ni 22deg. Celcius na mara kadhaa jioni joto hushuka hadi nyuzi 19 centigrade)
Leo nafuu kumekuwa na kajua lakini siku zilizopita ilikuwa ngoma droo na Marangu.
 
Nipo huku kwa muda tu,lakini hali ni mbaya sana!..(madirisha ya aluminium yalistahili maeneo ya aina hii,hata hivyo tunamadirisha yetu ya vioo vya kimtindo lakini mbeo inapita 😀😀

sijaelewa, hivi kati ya aluminium na kioo, kipi kinapitisha baridi kwa uraisi zaidi? kwa maana shuleni tulifundishwa tofauti kati ya glass na aluminum ...
 
Back
Top Bottom