Hali ya Hewa Inanishawishi . . .

Hali ya Hewa Inanishawishi . . .

utapenda muishie hapa na Nicas Mtei????

Hugging_Couple_by_ibrahim0116.jpg
 
Last edited by a moderator:
utapenda muishie hapa na Nicas Mtei????

Hugging_Couple_by_ibrahim0116.jpg


Wa hivi wala simtaki,mi nimejitoa kwake mazima yeye anahesabu na vidole vyake idadi yetu,naona hapo anasema kama vile huyu sasa ni wa sita, sijui ataniachia saa ngapi nikakutane na Chilli,nikishamalizana naye naenda zangu kwa tedo,jioni namalizia na mayome.Tabia hii si nzuri kabisa Madame B
 
Last edited by a moderator:
Eti Kongosho, umeniita?

na we hivi sikufundisha siku ile ukisikia mwito wa kipyenga namna hii uitike kimya kimya na kutii wito bila maswali?hapa saasa unaweza kujikuta mtu anasema hapana nilimaanisha nanihii ah!umeniuzi kweli kweli bora tu angeitwa Kaizer ningepatamo data analysis baada ya kurudi kwenye collection!hebu do ze nidfull kabla sijakupangia field ya nyingine
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom