Hali ya hewa uko kwenu ikoje leo?

Hali ya hewa uko kwenu ikoje leo?

mawingu ya hapa na pale, huku tukipata vipindi vichache vya jua katika masaa 10 yaliyopita. Tunategemea upepo utaendelea kuvuma kwa kasi ya kilomita 20 kwa saaa katika mwambao wa bahari ya hindi usiku wa leo huku kukiwa na mawimbi ya wastani mpaka chini ya wastani .
Aidha nimategemeo yetu hali ya hewa kwa masaa 24 yajayo inatarajiwa kuwa ni ya mawingu kiasi na manyunyu ya asubuhi, huku halijoto ikifikia takriban nyuzi 31°C hadi 32°C na upepo ukivuma kwa wastani kutoka Kusini Mashariki.
 
Back
Top Bottom