Acheni kuwataja baba na mama zenu kwenye upumbavu wenu wa matusi na ubishani wa kijinga, hao ni watu wa kuwaheshimu, Sio mtu akikusema au kukutania basi unakimbilia kusema "UKIMDHARILISHA MAMA BASI UMEMDHARISHA HATA MAMA YAKO, au UKIMDHARILISHA BABA BASI UMEMDHARISHA HATA BABA YAKO" Hiyo ni mifano ya mtu anaefikiria kwa kutumia ileeee aliyosema Mzee Ma------, Nakuuliza Swali Na Tafakari Je Ukioa Mwanamke unakuwa kama Umemuoa nani? Au Ukiolewa unakuwa Umeolewa na nani?
Stop Ujinga Tufikiri na kujadili Mambo ya maana hata kukaa kimya ni Maana Zaidi kuliko Kumtaja taja Mzazi wako hapa ambaye labda hata kushika Mouse hawezi USHAURI WA BURE Achana na kuhamisha Matusi au Hisia kwa wazazi wako ni hatari, Uweza Shindwa kuishi Kidijitali . Kumbuka matusi ni Moja ya Ujinga wa binaadamu kwa maana hayana Impact yoyote ile . Sana sana inamdharisha Mtukanaji. Kama Huamini endeleeni Kutukana Muone kama mtapata sifa Positive . HESHIMU WATU ,USIMSHIRIKISHE YEYOTE KATIKA KUTUKANWA KWAKO, USITUMIE NENO SISI, TUMIA NENO MIMI
Nakaribisha Matusi kama utatajirika nayo Ubarikiwe sana