hali ya hewa hapa MMU

HAHAHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!! Naona hii kesi MSHTAKIWA NAMBA 1 NI LARA 1!!!!!!!!!!!!!!!! Rutashobolwa naombauendeshehi hii kesi kimahakama kabisa na mimi NA PLEAD NOT GUILTY kwakuanzia kabisaaaa! Ikitakiwanijitete nitafanya hivo manake watu wanataka kuniangushia jumba bovu
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin mbona hizo comment humu ni za kawaida sana afu hivo vitoto unavipopotezea tu au unareport abuse.
Afu kumbuka bana wote hatuwezi kuwa malaika wasumbufu lazima wawepo mi napenda lara 1 anavyopambana nao mmoja mmoja

naona ushaanza ushaanza kusahau matumizi ya QUOTES eenh....
 

mimi ntakuwa amicus curiae.
 
Last edited by a moderator:

well said mkuu.tuko humu kujifunza na kuelimishana..---- mada zingine ambazo ni hostile kwa wengine,lakin haimaanishi unasemwa wewe uliyeguswa.jifunze from the comments za watu.
 
Tatizo ni kwamba wengine tunashindwa kukubaliana na ukweli kwamba kwenye hili jamvi kuna watu wengi kama majani...

Waacheni wachafuke bwana, ....wasipochafuka watajifunzaje??

Poleni waliokwazika, ila ndiyo dunia ilivyo!

Babu DC!!
very true...she wasn't suppose to take it that far...mada should save all purpose....
 
hapa labda unishawishi zaidi best, mimi naamini (bila kwenda kwenye imani za kidini) kwamba wote tunategemeana

sasa iko hebu fikiri, Leo hii likitengenezwa bamu la kuua wanawake wote kwa siku moja wooote wafe wabakizwe wanaume tuu unafikiri maisha yatakuwaje?? ni wazi kwamba yatakoma manake hayataweza kuendela toa siku ya kwanza bomu limelipuka mpaka siku ya mwisho mwanaume wa mwisho atakapokufa.

on the other hand likitengenezwa bomu liue wanaume kwa siku moja wooote waishe, wabakizwe wanwake tuu ni kwamba maisha baada ya 15 yrs yataanza tena kabla ya wanawake wengi kufa je unajua ni kwasababu gani yataanza upya??
 

you are not guilty ila kuna watu wako soo desperate especially wakisoma mada zako
 
Cc Zahra white ndo aliyeanzisha!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kumbe hawajafungua moyo wa uvumiliv sasa kwann wanachokonoa......jana nmerusha handgreaned wabeijing wote wamesambaratika.....teh teh teh!......msirudie tena jaman sio vzr kuchambua viungo vya starehe mkirudia tena nimetengeneza bonge la kombora kama ballestic mizeile(B.M)
 
Moderators wanapaswa kufanya kazi yao ipasavyo. Siyo kila thread inapaswa kuruhusiwa kujadiliwa.
 

Hutakasirika kwa sababu huna KIBAMIA,lakini mwenye KIBAMIA lazima atajistukia na ndiyo sababu unaona wanaanzisha threads zenye maudhui yaleyale kwa watu walewale kila siku!
 

Wakuwacheeee Long live Lara 1! Lara is here to stay! Nakukubali sana. Natamani uwe muke yangu!
 
Last edited by a moderator:

Teja utalijua tuu! Kapate dawa kwa mzizimkavu wewe! Katibu KIBAMIA hicho! Acha kudhalilisha mama zetu! pambaff!
 

asante dada mkubwa
kwa kuliongelea hili maana
sio siri wengi tulikwazika
lkn hatukuweza kusema kuogopa vijembe
vya wakaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…