na hii tabia ndio imeibuka sasa hivi. Mtu akiweka madambovu ukikemea unakashfiwa na kutusiwa kama mie ndo nimetusiwa/kukashfiwa mpaka basi kisa nilikemea usagaji khaaaa!!mtu mpumbav muache na upumbavu wake sister....
Kuna wengine humu tulijaribu kukemea tabia za ushoga , bahati mbaya tukaishia kufunguliwa threads za kashfa...
Mbaya zaidi hawa ambao tunashinda nao humu hakuna hata mmoja aliyethubutu kuunga mkono kampeni hiyo wakawa wanaishia ama kuwagwaya au kuwachekeachekea hao mafirauni...
kinachonishangaza ni pale ambapo pamoja na matusi yetu kwa jinsia kinzani ukifika wakati wa kuhitaji huduma yake hadi machozi yanatoka
Yaani wewe pita kimya kimya nisije kuongea yasioongeleka
kwa kifupi mazoea na watu kama nyie SITAKI KABISA.PERIOD.........
hapa labda unishawishi zaidi best, mimi naamini (bila kwenda kwenye imani za kidini) kwamba wote tunategemeanaunajua dunia haiwez kuwa dunia ukiondoa wanawake wote hata siku moja manake maisha yatasimama lazima tuu.
Lkn ukiondoa wanaume wote leo hii life will perpetuate na hapo ndipo ujue umuhimu wa wanawake
gfsonwin HOW!!!!!!!as long as linahusiana na mada husika naomba unieleweshe......unajua dunia haiwez kuwa dunia ukiondoa wanawake wote hata siku moja manake maisha yatasimama lazima tuu.
Lkn ukiondoa wanaume wote leo hii life will perpetuate na hapo ndipo ujue umuhimu wa wanawake
Makubwa kumbe nimeambiwa mimi GOGO lahaula .......wew mgiriki ulishanilala ukajua mimi ni GOGO!!!!
ni ujinga sana MMU imekuwa full Majungu...,Mipasho.......Zahara white kawatoa Imani sana.........
Kuna mda unatamani hata uende Jukwaa la SIASA labda utajua nchini kwako nini kinaendelea........
Hahah...
Inakuwaje maisha haya fake yanawafanya muwe so concerned kiasi hiki bandugu...
Hahah...
Inakuwaje maisha haya fake yanawafanya muwe so concerned kiasi hiki bandugu...
wachangiaji kuwa wengi ni heri lkn tuchangie kwa nidham