gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
- Thread starter
- #41
.. Wapo watu wa haiba tofauti humu. Unalosema mtoa mada ni sahihi, vijembe vya wazi vinakera, au kutoa mada zinazolenga watu au kundi fulani zinakera na wala hazijengi.
.. Ila katika halaiki kama hii, ni vigumu sana ku control watu waseme nini, wakati mwingine katika hizo nasty threads kunakuwa na mambo watu pia wanajifunza, japo kudhalilisha wadada ni kuwadhalilisha mama zetu pia!
nyuzi za kudhalilisha kundi fulan zinaboa sana tuziache