Hali ya Heaven On Earth: Anayefahamu atujuze.

Hali ya Heaven On Earth: Anayefahamu atujuze.

ya Heaven on Earth inatofauti King Kong III . Huwa anaiandka HoE. Hata kama sivyo kila neno linamaana kadri litumikavyo na mhusika. Kwani hujawah ona nguo zimeandkwa t.a.ko bell, M.A..VI e.t.c?

Taco Bell na MAVI(Mzumbe Academic VIllage) nshayaona ila hayaondoi maana kwamba sio tusi.
 
Last edited by a moderator:
Nimekukosaje...... Heaven on Earth

image.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hii mama yeyoo iko na masi nyingi eeh, aache kuonekana kwa siku moja balaa...
 
Kama taarifa ya awali ilivyobainisha kuwa HOE alipata matatizo baada ya kuvamiwa na vibaka usiku, pia tukaambiwa amelazwa hospitali, hivyo kwa anaefahamu hali yake atujuze wengne, au kama yupo humu atuambie anaendeleaje kwa sasa.

Mzima yeye na vyungo vyake vyote, Uliza lingine.
 
Back
Top Bottom