Hali ya Heaven On Earth: Anayefahamu atujuze.

Hali ya Heaven On Earth: Anayefahamu atujuze.

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
993
Reaction score
333
Kama taarifa ya awali ilivyobainisha kuwa HOE alipata matatizo baada ya kuvamiwa na vibaka usiku, pia tukaambiwa amelazwa hospitali, hivyo kwa anaefahamu hali yake atujuze wengne, au kama yupo humu atuambie anaendeleaje kwa sasa.
 
jana alikuwepo humu akiitikia salamu.
nafkr yuko poa!
tena alikuwa anataka kumpa Eiyer kampani.sasa sijui waliishiaje!!
HoE ukuje kutoa feedback ya vyote.
 
Last edited by a moderator:
jana alikuwepo humu akiitikia salamu.
nafkr yuko poa!
tena alikuwa anataka kumpa Eiyer kampani.sasa sijui waliishiaje!!
HoE ukuje kutoa feedback ya vyote.

Aisee!! jana sikuwepo hupu MMU, kama amepona nampa hongera.
 
Last edited by a moderator:
jana alikuwepo humu akiitikia salamu.
nafkr yuko poa!
tena alikuwa anataka kumpa Eiyer kampani.sasa sijui waliishiaje!!
HoE ukuje kutoa feedback ya vyote.

Yaani kupona tu anakuja na ukame wake kwa kasi hadi kwa waume za watu. Huyu Eiyer tindikali inamhusu.
Nimeshangaa sana!.. Heaven on Earth hata kupumzika hataki!?. hii si sawa kabisa. Heaven ni mke wa mtu ujue.
 
Last edited by a moderator:
Hicho kifupisho chake kwa kwetu ni Tusi.

For Educational Purposes only
hoe
1. A skank
2. A woman that is too loose in the booty.
3. Woman or man that fu.ck anything with two
legs.
4. A promiscuous person. syn: slut
Don't marry that hoe, she sucked too many dicks
and you know the old saying, you can't turn a
hoe into a housewife.
 
vyakula vyako umebeba Malafyale ? Usijekuwa unataka kuumaliza mchana wako kwake
 
Last edited by a moderator:
Hicho kifupisho chake kwa kwetu ni Tusi.

For Educational Purposes only
hoe
1. A skank
2. A woman that is too loose in the booty.
3. Woman or man that fu.ck anything with two
legs.
4. A promiscuous person. syn: slut
Don't marry that hoe, she sucked too many dicks
and you know the old saying, you can't turn a
hoe into a housewife.

kweli JF imepinda.......... hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
ya Heaven on Earth inatofauti King Kong III . Huwa anaiandka HoE. Hata kama sivyo kila neno linamaana kadri litumikavyo na mhusika. Kwani hujawah ona nguo zimeandkwa t.a.ko bell, M.A..VI e.t.c?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom