Hali ya Heaven On Earth: Anayefahamu atujuze.

Hali ya Heaven On Earth: Anayefahamu atujuze.

images

Wanasema eti jembe lina tundu na linaingiziwa mpini

Ni kweli ....?????

Mhhhhhhhhhhhhhh
 
Naomba nipate nafasi nimtembelee nyumbani kwake weekend hii lengo hasa ni kumpa pole na kadhia hii iliyompata!

Usisahau kwenda na matunda aina yote,pizza,kuku,choklate,Samaki Sato wa Mwanzaaa,mchele
Ukinunua hivyo nijulishe nikupelekeee
 
Nifundishe na mimi namna ya kuweka hiyo cc nduguyangu

Hahah haya mkuu fuatilia hapa kwa kifupi:

Tumia alama ya @ ikifuatiwa na jina mathalani watu8 pasipo kuacha nafasi...
Hakikisha tu umeiandika ID kwa ufasaha maana kuna watu majina yao yanafanana fanana kidogo..

watu8
 
Last edited by a moderator:

Nimekusoma sana watu8
 
Last edited by a moderator:
Niliwasiliana naye jana kwa njia ya simu, anaendelea vyema.
 
Back
Top Bottom