Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Nilikuwaga REP. Kuna kikao nilihusishwa, kuna mwamba alipata fununu kuwa ka-disco. Sasa si nilitoka kwenda kujisadia, mwamba alifuata huko huko na kunitolea macho huku akinisema, NIAMBIE, NIMEDISKO AU SIJADISCO?Usinikumbushee, nilitoka nduki toka ubungo terminal had class, ila lecturers wanachofanya sio poaa kabisaa.![]()


