Hali tete Central Police Dar; wafuasi wa Sheikh Ponda waanzisha purukushani!

Mi naona ni bora hata huyo mtu wao aliyekamatwa akaachiwa huru tu kwa kuwa inaonesha hawa watu wanaamini wana haki zote.kuliko kubishana nao baadae mtu yoyote kati ya wanaoandamana akaumizwa na kitu cha ncha kali ikawa lawama juu ya lawama na hawatoisha kukaa mlango wa makao makuu ya jeshi letu kila kukicha.Mi nafikiri wana kila haki ya kubembelezwa wasiandamane(Ikiwa tu kama wako juu ya sheria zetu zote za nchi) kila siku ni wao tu daaah

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

nchi haina sheria hii
 
Mod mko wapi mtu anapoweka jamvini lugha sio ya kawaida lazima aweke tafsiri asije akawa anatumia jamvi kuchochea maandamano.
 
dawa sio kumkata Sheikh Ponda. dawa hapa kama alivyosema sheikh Ponda kwamba maswala ya wakirsito kuyafanya ya kitaifa ni kosa huku ya waislam yakionekana sio chochote. hii ndio njia pekee. wamarekani na waisrael wanaendelea kuwaua wapaletina. lkn ndio kwanza moto unazidi kuwaka
 
ni dhahiri mmejipanga kuleta vita ktk nchi hii. mtashindwa katika jina la YESU. MUNGU WETU ATAJIBU KWA 'MOTO'. ACHENI VURUGU.

...........heshima lazima iwepo, wewe si umejibagua kutoka kwetu, basi subiri mziki mnene uko mlangoni ! hatuwezi kuwa second class citizen !
 
....naona kuna jumbe zinakuja za namna hii...
"OMBEN SANA KWANI KUNA BOTI 3 ZIMEJAA WAISLAMU TOKA ZANZIBAR KUJA TANZANIA ILI KUTEKETEZA MAKANISA KWA MOTO WATAANZA LEO USIKU.TUMA KWA WAOMBAJI UNAOWAFAHAMU."
 
Hizo risasi zinatakiwa zitakiwa zitue kichwani mwa padri slaa.
Twanga risasi hao wasiokuwa na kazi kazi yao kuleta uchochoze nchi wakati wenzao wapo shuleni na makazini alafu wakirudi na njaa zao nyumbani tunakuta wamebomo milango na kutuibia vipolo vya ugali...kisa hawajafanya kazi yoyote siku nzima kwa sababu ya mambo ya kijinga kabisa
 
Ponda mganga njaa lazima ashughulikiwe kama Ponda ili waliomtuma waone wazi akinya ma...vi. Tusipumue kwaajili ya PONDA.
 
Hapa hakuna kumsifia huyu ponda hakika niamini huyu jamaa ndio atakuwa mtu wa kwanza kuvunja umoja na amani yetu naomba wamuweke ndani maana akiachiwa lazima watapata mibichwa hapa sasa ndio tuone serikali ilivyo kama msumeno hukata popote

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwani leo ni Ijumaa?,tulishazoea kila ijumaa hawa maustaadh ubwabwa lazima wapige tukio
 
....naona kuna jumbe zinakuja za namna hii...
"OMBEN SANA KWANI KUNA BOTI 3 ZIMEJAA WAISLAMU TOKA ZANZIBAR KUJA TANZANIA ILI KUTEKETEZA MAKANISA KWA MOTO WATAANZA LEO USIKU.TUMA KWA WAOMBAJI UNAOWAFAHAMU."

kama kawaida yenu, hamchoki kueneya propaganda dhidi ya uislam, endeleeni lakini hamto fanikiwa.
 
East Africa Television (EATV) BREAKING NEWS: Waumini wa dini ya Kiislamu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Sheikh Issa Ponda wapo makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam wakitaka aachiwe baaada ya kukamatwa, Huko Zanzibar pia, wafuasi wa kikundi cha uamsho wafanya vurugu kwa madai ya kutekwa kwa kiongozi wao.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Hao waloenda huko wametumia sheria gani??? Sijawahi sikia mtikila amekamatwa wakristu wakaenda kuandamana aachiwe!! Waache sheria za nchi zichukue mkondo wake maana hamna aliye juu ya sheria.....
Ndio maana waislam tunadharaulika kwaajili ya kufanya mambo kienyeji
 
East Africa Television (EATV) BREAKING NEWS: Waumini wa dini ya Kiislamu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Sheikh Issa Ponda wapo makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam wakitaka aachiwe baaada ya kukamatwa, Huko Zanzibar pia, wafuasi wa kikundi cha uamsho wafanya vurugu kwa madai ya kutekwa kwa kiongozi wao.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

JK ameamua kukimbilia Oman ili awaachie wakina Nchimbi na Mwema haya matatizo yao na Ponda na Uamsho. Nadhani alishaambiwa kuwa bila kumtoa kafara askari (Barlow ) hii safari ya Oman ingeshindikana na kama mjuavyo mkuu huwa hapendi kubeba lawama. Liwalo na Liwe anayo kazi ya kubeba hili zigo
 
Back
Top Bottom