Hali tete Central Police Dar; wafuasi wa Sheikh Ponda waanzisha purukushani!

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Nko maeneo ya central police hali ni tete sana.. Kuna tension kubwa askari wametanda. Sijui kinachoendelea kwa kuwa nko ktk gari. Barabara imefungwa kuanzia hapa long room hadi water front. Nikipata details zaidi ntawajuza wadau.
East Africa Television (EATV) BREAKING NEWS: Waumini wa dini ya Kiislamu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Sheikh Issa Ponda wapo makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam wakitaka aachiwe baaada ya kukamatwa, Huko Zanzibar pia, wafuasi wa kikundi cha uamsho wafanya vurugu kwa madai ya kutekwa kwa kiongozi wao.
 
Duh labda sheh Ponda na kundecha wamekamatwa kwa makosa ya kigaidi!
 
Nko maeneo ya central police hali ni tete sana.. Kuna tension kubwa askari wametanda. Sijui kinachoendelea kwa kuwa nko ktk gari. Barabara imefungwa kuanzia hapa long room hadi water front. Nikipata details zaidi ntawajuza wadau.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ni waislam wameandamana polisi wanatawanya watu. Hali ni tete sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bila raisckuingilia kati na kutoa msimamo mkali nchi kweli itatikisika.

Waislam ambao ndiyo naamini waliopandikiza sera za udini hasa 2010 sasa hawaamini kinachotokea.
 
Tupeni habari kamili. ila naomba polisi walinde makanisa,mashule,mabenki na hospitali zinazomilikiwa na wakiristo.
 
Kama wanamdai shehe Ponda Serikali inapaswa kutoteteleka kwa hili maana naona maigizo yanazidi.
 
Nko maeneo ya central police hali ni tete sana.. Kuna tension kubwa askari wametanda. Sijui kinachoendelea kwa kuwa nko ktk gari. Barabara imefungwa kuanzia hapa long room hadi water front. Nikipata details zaidi ntawajuza wadau.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kamilisha basi details basi , hivi hujui central police ziko mikoa yote Tz ? Wala hiyo lon room uichukuliayo ndiyo specific sign kua ni Dar, hata central police ya Mwz iko nearby too with lonroom!
 
Dar es salaam mjini kaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
اكَ وَعُكَّازُكَ هُمَا يُعَزِّيَانِنِي. 5 تُرَتِّبُ قُدَّامِي مَائِدَةً تُجَاهَ مُضَايِقِيَّ. مَسَحْتَ بِالدُّهْنِ رَأْسِي. كَأْسِي رَيَّ
Vipi tena mkuu,umesoma dua baya nini ili tugeuke nyoka!!
 
Back
Top Bottom