Hali tete Central Police Dar; wafuasi wa Sheikh Ponda waanzisha purukushani!

hebu tuambiane huyo ponda ni mungu wao mbona watu wanashikiwa akili hivyo et sheih kama ni sheih xo wat!!hafanyi makosa au? sasa wakiandamana ndo wanatutishia aman au? selikari itende haki asiogopwe mtu this iz too much jamani

tatizo la ndugu zetu hawa elimu ndogo sana/kiduchu,ata uyo sheikh ponda mwenyewe,sheikh mkuu wa Tanzania keshawatahadharisha watu kuwa darasa lake lina walakini kidogo,pia kinachoonekana sasa hivi kinadhihirisha jinsi vijana wengi wa kitanzania wasivyokuwa na kazi,kwasababu kwa mtu anayebangaiza kama mimi hawezi kuwa na mda wa kuandamana kwasababu mda huo atakua anatafuta kula yake,tatizo moja linazaa tatizo jingine.
 
.............kule Ufilipino "Abu SayaF'' wameshapewa "nchi" .............Uislaam utasimama kwa raha zao !
.......mdogo mdogo tuu !

Bila shaka umesoma kwenye AL Nuur au Kisiwa yale magazeti yenu, kuna Google na Wikipedia kijana akili ya kuambiwa changanya na zako c ndio alivyosema Ustaadh KIKWETE!
 
na wewe umekiri kibaka ndo aliemuandaa na kumkabidhi nchi.
kwani si walisema ni chaguo la Mungu?
Iweje Mungu achague mlea vibaka na dhaifu?

Jakamoyo mi sikubisha udhahifu wa Mk...pa, nilimuonesha kuwa hata tuliye naye hana nafuu. Waislamu wanabeba bango kuwa wanaochoma makanisa wasihusishwe na uislamu, ila wakikuta mchungaji yuko tofauti, wanasema ukristo una kasoro. Why the double standards?
 
Rais yupi? Unazungumzia Mr. Dhaifu? Yeye akionaga tifu hukimbilia maeneo atakayokimbilia wakati mambo yake yakiharibika
 
Nko maeneo ya central police hali ni tete sana.. Kuna tension kubwa askari wametanda. Sijui kinachoendelea kwa kuwa nko ktk gari. Barabara imefungwa kuanzia hapa long room hadi water front. Nikipata details zaidi ntawajuza wadau.


Walimezoesha na SERIKALI TAWALA kuwa WAKIANDAMANA kwa WINGI POLISI; LOLOTE Wanalotaka litatekelezwa Bila Purukushani... Serikali wakati inafuata MASHARTI ya Walioandamana; Haikutoa TAARIFA ya kwanini wamefanya hivyo na kama ikitokea tena Watafanya nini; ILINYAMAZA KIMYA... Hawakujua it is a loophole...

Sisi ni Wanaadamu; Tukishaona Mteremko sehemu fulani tutakwenda Mara nenda Rudi...

HAYA SASA; MAKAO MAKUU ya POLISI - Watafanya NINI? Au ni Issue wa WAZIRI sasa???
 
Ninaposoma utoto na utani mwingi na wa kijinga wa kukashfu, kutukana, kebehi kwa dini moja dhidi ya nyingine napata picha kwamba uwezo wetu wa kufikiri na kuchambua uko chini sana, wengi tumeshindwa kutofautisha mambo sirious na ya utani..nna uhakika Great Thinkers waliolengwa wamekuwa wachache na watotn wamekuwa wengi zaidi..
 
Du kazi kubwa,ee mungu tuokoe waja wako,hatupendi maneno. Wasomi siye bwana. Jina bwana lihidimiwe amen.
 
logic ina ukweli! Wa kina ponda walipo kataa ile sensa kwa madai kwamba wao wapo wengi na kama hamuamini wekeni kipengele cha dini!"
Leo kutokana na chokochoko, fitna, hitlafu, mikwala, kutojali sheria za nchi na mambo kama hayo! NIMEAMINI BILA SHAKA WAISLAMU NI WENGI! ingekuwa Wakristo ni wengi tusinge yashuhudia hayo!
 
Back
Top Bottom