Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Vipi tena mkuu,umesoma dua baya nini ili tugeuke nyoka!!
Aaaah wapi. Labda ataanza yeye kuwa mjusi
Vipi tena mkuu,umesoma dua baya nini ili tugeuke nyoka!!
Hawa jamaa kweli wamevimba vichwa sasa.
rais yupi ndugu yangu?????huyu dhaifu anaamini kila kitu ni upepo utapita.msimo mkali atautoa wapi???
kojoleen muone.mh kaz ipo.. . .
Bila raisckuingilia kati na kutoa msimamo mkali nchi kweli itatikisika.
Waislam ambao ndiyo naamini waliopandikiza sera za udini hasa 2010 sasa hawaamini kinachotokea.
Ili mgeuke siafu!
Hawa jamaa kweli wamevimba vichwa sasa.
Wanamfanyia send off mwenzao aliyekufa Mwanza
Mungu ndiye anajua kila kitu haipendezi kukejeli wafu ndg!
Vipi tena mkuu,umesoma dua baya nini ili tugeuke nyoka!!