Tetesi: Hali Tete: CCM watuma vijana Mitandaoni hasa X, Tiktok, Facebook na Instagram. Wawapa bundles kutuma jumbe kuonesha Samia na CCM wanaungwa mkono

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Nimecheka sana,

Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa kura na Watanzania.

Vijana hao wengine wanapewa bundles za Internet kuanzia kiasi cha 5000 hadi 1000. Wengine wanaambiwa nyie ni wanachama kazi yenu ni kumtetea Mwenyekiti na Chama.😃😃

Maamuzi haya inasemwa yanaratibiwa na UVCCM pamoja na Idara ya Uenezi chini ya Bw. Amos Makalla. Aidha imeelezwa kutoka kwa maamuzi haya kumetokana na mashambulio makubwa wanayoyaelekeza Watanzania kwenye pages za Mitandao ya Kijamii za Samia, CCM na Serikali yake kutokana na Watanzania kuchukizwa sana ugumu wa maisha, vitendo vya rushwa pamoja na matukio ya utekaji, upotezaji, ubakaji na kulawiti wanaokosoa Serikali.

Kweli CCM wanapenda sana kuishi kwa propaganda na Uongo. Mwaka huu lazima miti yote iteleze. Watanzania kwa sauti moja wameshasema hapana. Mwendo ni No Reforms No Election

Poleni sana CCM. Hamuwezi kupambana na nyakati.
 
Nimecheka sana,

Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa kura na Watanzania.

Vijana hao wengine wanapewa bundles za Internet kuanzia kiasi cha 5000 hadi 1000. Wengine wanaambiwa nyie ni wanachama kazi yenu ni kumtetea Mwenyekiti na Chama.😃😃

Maamuzi haya inasemwa yanaratibiwa na UVCCM pqmoja na Idara ya Uenezi chini ya Bw. Amos Makalla. Aidha imeelezwa kutoka kwa maamuzi haya kumetokana na mashambulio makubwa wanayoyaelekeza Watanzania kwenye pages za Mitandao ya Kijamii za Samia, CCM na Serikali yake kutokana na Watanzania kuchukizwa sana ugumu wa maisha, vitendo vya rushwa pamoja na matukio ya utekaji, upotezaji, ubakaji na kulawiti wanaokosoa Serikali.

Dawa yao ni ile ile, chochote wanachopost, response inayowafaa ni No Reforms, No election. Mwaka huu mpaka wataelewa
 
Hawataweza, kwenye komenti 100 za
No REFORMS no ELECTION
N.RN.E utakuta wapo watetezi wa mama hawazidi hata 20.

Wamezidiwa nguvu na hili vugu vugu la
No REFORMS no ELECTION
N.RN.E

Wameifungia X wafunge na INSTA sasa tuone.
CCM hawawezi zidiwa nguvu na Chadema mitandaoni, wameacha tu hao jobless watachoka wataacha wenyewe.
 
Nimecheka sana,

Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa kura na Watanzania.

Vijana hao wengine wanapewa bundles za Internet kuanzia kiasi cha 5000 hadi 1000. Wengine wanaambiwa nyie ni wanachama kazi yenu ni kumtetea Mwenyekiti na Chama.😃😃

Maamuzi haya inasemwa yanaratibiwa na UVCCM pqmoja na Idara ya Uenezi chini ya Bw. Amos Makalla. Aidha imeelezwa kutoka kwa maamuzi haya kumetokana na mashambulio makubwa wanayoyaelekeza Watanzania kwenye pages za Mitandao ya Kijamii za Samia, CCM na Serikali yake kutokana na Watanzania kuchukizwa sana ugumu wa maisha, vitendo vya rushwa pamoja na matukio ya utekaji, upotezaji, ubakaji na kulawiti wanaokosoa Serikali.

Kweli CCM wanapenda sana kuishi kwa propaganda na Uongo. Mwaka huu lazima miti yote iteleze. Watanzania kwa sauti moja wameshasema hapana. Mwendo ni No Reforms No Election

Poleni sana CCM. Hamuwezi kupambana na nyakati.
Vilivo vipumbavu vitaandika muda huo wamecheleweshewa pesa za matumizi na hawa hawa madhalimu.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Nimecheka sana,

Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa kura na Watanzania.

Vijana hao wengine wanapewa bundles za Internet kuanzia kiasi cha 5000 hadi 1000. Wengine wanaambiwa nyie ni wanachama kazi yenu ni kumtetea Mwenyekiti na Chama.😃😃

Maamuzi haya inasemwa yanaratibiwa na UVCCM pqmoja na Idara ya Uenezi chini ya Bw. Amos Makalla. Aidha imeelezwa kutoka kwa maamuzi haya kumetokana na mashambulio makubwa wanayoyaelekeza Watanzania kwenye pages za Mitandao ya Kijamii za Samia, CCM na Serikali yake kutokana na Watanzania kuchukizwa sana ugumu wa maisha, vitendo vya rushwa pamoja na matukio ya utekaji, upotezaji, ubakaji na kulawiti wanaokosoa Serikali.

Kweli CCM wanapenda sana kuishi kwa propaganda na Uongo. Mwaka huu lazima miti yote iteleze. Watanzania kwa sauti moja wameshasema hapana. Mwendo ni No Reforms No Election

Poleni sana CCM. Hamuwezi kupambana na nyakati.
hiyo mitandao sehemu kubwa ya wapiga kura hawana access wala ujuzi wa kutembelea mitandao
 
Kilianzishwa na Nape Nnauye Kiliitwa BUKU 7 FC
 
Back
Top Bottom