Huo ni uwezo wako wa kufikiri na huna nia njema na taifa hili.Hakuna haja ya kunusuliana,mambo mdundo kama syria,acha tuharibu vizazi vijavyo watarekebisha.
Hakuna haja ya kunusuliana,mambo mdundo kama syria,acha tuharibu vizazi vijavyo watarekebisha.
kwa jinsi wana mtwara walivyodanganyika, hata kama serikali itaamua kumjenge nyumba kila mtu na kumpa mtaji wa biashara, hawatakubali. wamedanganyika kweli. hivi kwa ile speech ya leo ya waziri wa nishati na madini kulikuwa na sababu kweli ya wana mtwara kuleta fujo? au kwa vile ndo hawajaisikia
Huo ni uwezo wako wa kufikiri na huna nia njema na taifa hili.
........unataka kusema nn hapo kwenye nyeusi.........:heh:! unataka kutuambia Mtwara hakuna satelite:embarassed2:Tanzania nzima TBC 1 haionekani mpaka kwa satelite usije sema ni mtwara kwa 7bu ya badget unakosea ila kama umefanikiwa kuwa na king'amuzi umeona badgeti iko poa na wala sina tatizo nayo kama itafanikishwa kwa yaliyosemwa na waziri. Ila TBC kukatisha matangazo ni nchi nzima sio kusini pekee jarb kuwa mtafitiii
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
wamedanganyik na nini???????????????mjinga akierevuka mjanja yupo mashakani!!!!!!!!!!!!!!!!!!kwa jinsi wana mtwara walivyodanganyika, hata kama serikali itaamua kumjenge nyumba kila mtu na kumpa mtaji wa biashara, hawatakubali. wamedanganyika kweli. hivi kwa ile speech ya leo ya waziri wa nishati na madini kulikuwa na sababu kweli ya wana mtwara kuleta fujo? au kwa vile ndo hawajaisikia
kwa nini sasa jengo la ccm lichomwe moto? hawa watu wana malengo gani?
Huo ni uwezo wako wa kufikiri na huna nia njema na taifa hili.
kimenuka na mpaka tunaingia mitamboni ofisi za majangili pale wilayani zinaendelea kuteketea kwa motoThe big show kuna watu hawana access na mitandao lakini wamesikia hali sio nzuri huku Mtwara,wamenitumia sms nimeshindwa kujibu kwa hiyo nimeona niulize humu JF,hasa The Big Show,nijibu nijue hali ikoje kisha watanzania niwajibu
Huo ni uwezo wako wa kufikiri na huna nia njema na taifa hili.
kimenuka na mpaka tunaingia mitamboni ofisi za majangili pale wilayani zinaendelea kuteketea kwa moto
Tanzania nzima TBC 1
haionekani mpaka kwa satelite usije sema ni mtwara kwa 7bu ya badget
unakosea ila kama umefanikiwa kuwa na king'amuzi umeona badgeti iko poa
na wala sina tatizo nayo kama itafanikishwa kwa yaliyosemwa na waziri.
Ila TBC kukatisha matangazo ni nchi nzima sio kusini pekee jarb kuwa
mtafitiii
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums