Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata ya Gesi

Hakika tutawangamiza hawa wapumbavu wa ccm,
watz bila kujali rangi,kabila,imani na kanda tuungane kuiteketeza maccm. Hongereni watu watu wa mtwara.
TUKO PAMOJA SANA.
CCM HAIKUBALIKI TUSHIRIKIANE KUIONDOA NA KUIFUTA KWENYE RAMANI SIASA TZ.
 
sure mkuu na nimemsikia pia akisema kuwa kutajengwa mtambo wa kufua umeme wa megawatt 400 ambao kwa ajili ya mikoa yote ya kusini ya lindi, mtwara na ruvuma

Ile meli mpya Ziwa Victoria iko wapi? Na Ziwa Nyasa? Kigoma ishakuwa kama Dubai? Hapo sijaulizia maisha bora kwa kila mtanzania maana nitakuchanganya
 
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Wadau,niko maeneo ya magomeni mtwara muda huu polisi wanarusha mabomu na risasi kila pembe,ni mtafaruku huduma zote zimesitishwa,wananchi wanataka kujua hatma ya gesi kusafirishwa kwenda Dar.Hali si shwari kabisa na ikumbukwe huu ni muendelezo wa tukio kama hili siku ya ijumaa iliyopita!

Kwenye mathematics kuna kitu tunakiita point of no return au critical point, kama hata ni kamba ukiivuta ikifika hapo ukiendelea inavunjika. nafikiri hapo mtwara imefikia hiyo hali, mungu anusuru.
 
sithubutu kutoka nje ndugu ... hayo mabomu nnayosikia ni noma

Kuna mtu anaitwa "maswamaswa", kwa maoni yake, nyinyi mnasherekea kwa kuwa hotuba ya Waziri ilikuwa imejaa neema. Hiyi ID ya maswamaswa nimeiongeza kwenye orodha ya watoa pumba wa JF niliyonayo.
Na Obama anakuja hapo baadaye kukagua miradi na kuongeza sahihi za makubaliano. Mabomu ya machozi na polisi watatumika sana katika kuhakikisha miradi ya "wawekezaji" haiharibiwi.
 
kila nikiongea na ndugu zangu hapo mtwara wanalia jamani hali si swari hata kidogo, lakini tutazidi kukomaa hadi kieleweke
 
tumia akili,kwani mtwara mpo watu m 30?
unadhani bunduki moja ya askari ina replace raia wangapi wenye mawe?MTU UMEJIFUNGIA NDANI HALAFU UNAPIGA KELELE ETI,HAITOKI,!Hizo c ndizo kelele zenyewe za chura?

Tatizo lako hujawahi hata kwenda jeshi, jitahidi uende JKT. Na kama we ni askari basi ndo wale askari wa kuokota au kupelekwa na mkubwa fulani , hujui mbinu za vita wala chochote Hujui kuwa hao wa mjini asili yao ni vijini? piga picha kama hao askari hapo mjini pekee wanachemsha , sasa fanya kila kijiji na kila mji kanda yote ya kusini wafanye fujo na mdugu zao wa mikoa mingine wawaunge mkono hapo kuna nini? Dogo nenda hata kajifunze mgambo labda utajua lisasi thelathini zikiisha baada ya kuua watu thelathini na watu wengimne mia tano wanakufuata utafanya nini? Acha ubishi wa kitoto.Kombeo inazidi bunduki na watu kuni wenye kombeo wakimlenga askari mmoja mwenye Bunduki ataitupa na kukimbia.
 
superior weapons does count,usiwandanganye hao wana mtwara.ingekua namba inacount,taifa la israel wale waarabu washalifuta zamani sana.

We endelea kuwapa moyo hao jamaa,hesabu kamili ya majeruhi,waliokufa kama wapo,waliowekwa nani utaipata taarifa ya saa mbili.
 
Hao Waarabu unaowasema wako nje wa Israel, ogopa vita ya ndani kwa ndani. Hao askari watapata wapi mahitaji yao ya kila siku. Usijipe moyo na kuhamasisha hasira za watu bure.
 
Uko mtwara ccm wamegeuzwa wezi hahahaaaaa kamata uyooooo kwi kwi kwi kwi chapaaaaaa....
 
Back
Top Bottom