Hali ni mbaya sana, nazidi kudhoofika

Hali ni mbaya sana, nazidi kudhoofika

Ndo maana natafuta kazi za viwandani nipate mtaji nijiajiri japo mpaka nipate mtaji itabidi nifanye kazi si chini ya miezi sita mbaya zaidi hata huko viwandani tunapotegemea tujichange tupate mtaji napo pagumu.
Jichanganye kwenye saidia fundi mkuu japo ngumu nahata upatikanaji mgum huko viwandan elfu tano utapata mtaji leo
 
Hali ya sasa ya kimaisha hairidhishi hata kidogo. Kimbilio la vijana wengi lilikuwa ni viwandani ila kwa sasa hata huko viwandani kazi hakuna.

Viwanda vingi uzalishaji ni mdogo mno kiasi kwamba hata wale vibarua permanent nao hawapati nafasi ya kuingia kazini
Viwanda vingine navyo vimefungwa na haijulikani lini wataanza tena kufanya kazi.

Vile viwanda ambavyo miaka ya nyuma vilikuwa vikikimbiwa na watu kisa ugumu wa kazi navyo siku hizi hata ukienda hupati nafasi maana kumejaa

Mfano mzuri ni kiwanda cha nondo kilichopo Jeti siku hizi nafasi ni adimu mno. Viwanda vingine vibarua wazoefu hawataki kuachia nafasi wanaunga shift usiku na mchana hawataki kutoka.

Viwanda vingine hawakupokei mpaka uhonge au uwe na mtu anayekujua mf kiwanda cha Pepsi ,Jambo ,kiwanda cha kioo,serengeti nk

Viwanda vingi sana vimefungwa mf Kiwanda cha Jumbo,Murzah one.Murzah Two.

Vibarua wanakimbilia Murzah four napo kazi hakuna uzalishaji mdogo mno.

Kiwanda kingine ni kiwanda cha samaki ila napo wanachukua idadi ndogo mno haswa wale wazoefu na wanawake

Kiwanda cha rasta napo siku hizi pagumu mno.

Vijana tunakufa njaa
Pole
 
Hizi tabia za kudhihaki wenye shida zinazidi sasa, muda mwngne kama huna Cha kusadia hata kimawazo ni bora upige kimya tu
mkuu hamdhiaki bali anamkumbushia majibu tunayopewa na wakubwa zetu ni bora kukumbushana ili tuwe timamu tusirudie ujinga siku nyingine, wenzetu mkate tu ukipanda bei wanaitaji maelezo ua kina cc tunasifia tu na bado tuyakijua kichina sio kwa kukisoma tu hata kukiandika kwa elufi kubwa na ndogo
 
Hali ya sasa ya kimaisha hairidhishi hata kidogo. Kimbilio la vijana wengi lilikuwa ni viwandani ila kwa sasa hata huko viwandani kazi hakuna.

Viwanda vingi uzalishaji ni mdogo mno kiasi kwamba hata wale vibarua permanent nao hawapati nafasi ya kuingia kazini
Viwanda vingine navyo vimefungwa na haijulikani lini wataanza tena kufanya kazi.

Vile viwanda ambavyo miaka ya nyuma vilikuwa vikikimbiwa na watu kisa ugumu wa kazi navyo siku hizi hata ukienda hupati nafasi maana kumejaa

Mfano mzuri ni kiwanda cha nondo kilichopo Jeti siku hizi nafasi ni adimu mno. Viwanda vingine vibarua wazoefu hawataki kuachia nafasi wanaunga shift usiku na mchana hawataki kutoka.

Viwanda vingine hawakupokei mpaka uhonge au uwe na mtu anayekujua mf kiwanda cha Pepsi ,Jambo ,kiwanda cha kioo,serengeti nk

Viwanda vingi sana vimefungwa mf Kiwanda cha Jumbo,Murzah one.Murzah Two.

Vibarua wanakimbilia Murzah four napo kazi hakuna uzalishaji mdogo mno.

Kiwanda kingine ni kiwanda cha samaki ila napo wanachukua idadi ndogo mno haswa wale wazoefu na wanawake

Kiwanda cha rasta napo siku hizi pagumu mno.

Vijana tunakufa njaa
Mkuu jaribu huko rufiji japo napo nasikia hadi upenyeze kitu kidogo na kuna lundo la watu usikate tamaa tusubili bomba la mafuta shuguli ikianza tutafutane inbox tuone namna ya kupeana nguvu
 
Boss hujawahi kufikiria kujitupa Mikoani mashambani kwenye chai au wanakojenga bwawa la Nyerere hapo?
 
Hali ya sasa ya kimaisha hairidhishi hata kidogo. Kimbilio la vijana wengi lilikuwa ni viwandani ila kwa sasa hata huko viwandani kazi hakuna.

Viwanda vingi uzalishaji ni mdogo mno kiasi kwamba hata wale vibarua permanent nao hawapati nafasi ya kuingia kazini
Viwanda vingine navyo vimefungwa na haijulikani lini wataanza tena kufanya kazi.

Vile viwanda ambavyo miaka ya nyuma vilikuwa vikikimbiwa na watu kisa ugumu wa kazi navyo siku hizi hata ukienda hupati nafasi maana kumejaa

Mfano mzuri ni kiwanda cha nondo kilichopo Jeti siku hizi nafasi ni adimu mno. Viwanda vingine vibarua wazoefu hawataki kuachia nafasi wanaunga shift usiku na mchana hawataki kutoka.

Viwanda vingine hawakupokei mpaka uhonge au uwe na mtu anayekujua mf kiwanda cha Pepsi ,Jambo ,kiwanda cha kioo,serengeti nk

Viwanda vingi sana vimefungwa mf Kiwanda cha Jumbo,Murzah one.Murzah Two.

Vibarua wanakimbilia Murzah four napo kazi hakuna uzalishaji mdogo mno.

Kiwanda kingine ni kiwanda cha samaki ila napo wanachukua idadi ndogo mno haswa wale wazoefu na wanawake

Kiwanda cha rasta napo siku hizi pagumu mno.

Vijana tunakufa njaa
Moja ya sababu inayosababisha haya ni kodi za kijinga za serikali.

Serikali inatoza kodi bila kuzingatia uzalishaji na uchumi.
 
Hali ya sasa ya kimaisha hairidhishi hata kidogo. Kimbilio la vijana wengi lilikuwa ni viwandani ila kwa sasa hata huko viwandani kazi hakuna.

Viwanda vingi uzalishaji ni mdogo mno kiasi kwamba hata wale vibarua permanent nao hawapati nafasi ya kuingia kazini
Viwanda vingine navyo vimefungwa na haijulikani lini wataanza tena kufanya kazi.

Vile viwanda ambavyo miaka ya nyuma vilikuwa vikikimbiwa na watu kisa ugumu wa kazi navyo siku hizi hata ukienda hupati nafasi maana kumejaa

Mfano mzuri ni kiwanda cha nondo kilichopo Jeti siku hizi nafasi ni adimu mno. Viwanda vingine vibarua wazoefu hawataki kuachia nafasi wanaunga shift usiku na mchana hawataki kutoka.

Viwanda vingine hawakupokei mpaka uhonge au uwe na mtu anayekujua mf kiwanda cha Pepsi ,Jambo ,kiwanda cha kioo,serengeti nk

Viwanda vingi sana vimefungwa mf Kiwanda cha Jumbo,Murzah one.Murzah Two.

Vibarua wanakimbilia Murzah four napo kazi hakuna uzalishaji mdogo mno.

Kiwanda kingine ni kiwanda cha samaki ila napo wanachukua idadi ndogo mno haswa wale wazoefu na wanawake

Kiwanda cha rasta napo siku hizi pagumu mno.

Vijana tunakufa njaa
Andika urithi acha utotoo usitrse watu
 
Back
Top Bottom